Watu wasiofahamika, usiku wa kuamkia juzi wameandika maneno kwenye kuta ikiwamo ukuta wa Kampuni ya Bakhressa katika maeneo ya Tazara wakidhihaki Katiba Inayopendezwa sanjari na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba.
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imesema inafuatilia
kubaini watu wanaoandika maneno ya uchochezi kwenye kuta na kwamba
wakigundulika watashitakiwa kwa uchochezi na uvunjifu wa amani.
Miongoni mwa maandishi kwenye kuta hizo, yalitaka ipigwe
kura ya hapana kwa Katiba Inayopendekezwa na kwamba ni mbovu. Mengine
yalimshutumu Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samuel Sitta.
Kamanda wa Polisi katika hiyo Maalumu, Suleiman Kova alisema
wanaendelea kuwatafuta ili kuweza kuwabaini na kuwafikisha mahakamani.
Alisisitiza jamii kutumia njia mwafaka ya kufikisha mawazo yao.
Alisema kwa kutoa maoni kwenye kuta hayana thamani, kwani
hakuna atakayefanyia kazi lakini kwa kufuata taratibu yataheshimiwa.
Kutokana na maandishi hayo yaliyokutwa juzi asubuhi,
wafanyakazi wa kampuni hiyo ya Bakhressa walilazimika kuyafuta kwa kupaka rangi
upya kwenye ukuta huo.
Mmoja wa vijana waliokuwa wakifuta maandishi hayo
aliyejitambulisha kwa jina moja la Hassan, alisema baada ya uongozi kupata
taarifa ya kuwepo maandishi hayo waliwataka kufuta na kupaka rangi upya.
Hivi karibuni, iliripotiwa kwamba mkoani Dodoma, maandishi
kama hayo yalikutwa katika ukuta wa ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi
(CCM).
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >