Watu saba toka familia Nne tofauti wameuawa na nyumba 18 zimechomwa moto Jumanne wiki hii katika kijiji cha murufiti wilaya ya kasulu mkoani kigoma, baada ya wananchi kuvamia wakazi wa nyumba hizo kutokana na imani za kishirikina.
Wakizungumzia tukio hilo ndugu wa watu waliokufa na wakazi wa kijiji
hicho wamesema tukio hilo lilitokea usiku , ambapo baada ya tuhuma za
ushirikina kushamiri kijijini hapo,wananchi walimualika mganga mmoja
ambaye aliainisha watu wanaodaiwa kuwa ni wachawi, hali iliyosababisha
wananchi kuzivamia nyumba hizo na kuwaua kwa kuwachoma moto John
Mavumba, Elizabert Kaje, Dyaba Kitwe, Vicent Ntiyaba , Herman Ndabiloye,
Redamta Mdogo, na Ramadhani Kalaliza wote wakiwa na umri wa zaidi ya
miaka 55 huku wanafamilia wengine wakikimbia hovyo
Kamanda wa polisi mkoa wa Kigoma Kafari Mohamed amesema hadi sasa watu
18 wamekamatwa akiwemo mwenyekiti wa kijiji cha murufiti Evarist Ruhaya
na kwamba polisi inaendelea na msako mkali wa kutafuta wengine ambao
walihusika na tukio hilo akiwemo mganga wa jadi Faustino Ruchagula
ambaye taarifa zinaonesha alihusika katika masuala ya kupiga ramli hivyo
kuchochea hasira za wauaji.
Matukio ya mauaji kwa imani ya kishirikina yamekuwa yakitokea mara kwa
mara mkoani Kigoma, ambapo mwaka jana mkazi mmoja wa kijiji cha Kibwigwa
aliuawa na mazao yake kufyeka na watu wasiofahamika.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >