Waandaji wa tamasha la Serengeti Fiesta kwa kushirikiana na Clouds TV wametangaza kurusha mtandaoni moja kwa moja sehemu ya matangazo ya tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ambalo mwaka huu litashereheshwa na mwanamuziki kutoka Marekani, T.I ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya Grammy.
Tamasha hilo litafanyika katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam tarehe 18 mwezi wa kumi mwaka 2014
Kwa mujibu wa TanzaniaBox.com baadhi ya vipande vya sehemu ya tamasha
la Serengeti Fiesta na matukio maalumu ya nyuma ya pazia yatarushwa
moja kwa moja na yataweza kutazamwa popote pale duniani kwa kifaa
chochote kilichounganishwa na mtandao wa intaneti kama simu zenye uwezo
wa kuonyesha video, komputa ndogo, komputa kubwa pamoja na TV
zilizounganishwa na mtandao.
Mashabiki wa Serengeti Fiesta duniani wataweza pia kufuatilia moja
kwa moja pale wasanii wakubwa wa Bongo Flava kama Diamond, Ali Kiba, Ney
wa Mitego na Vanessa Mdee pamoja na wasanii wengine wa kimataifa kama
Waje, Victoria Kimani, Ash Hamman pamoja na mkali kutoka Marekani T.I
wakitoa burudani.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >