Habari Kali
Loading...

Ebola:Maambukizi yaongezeka Siera Leone

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Ebola
Shirika moja la hisani limeonya kuwa kiwango cha visa vitano vya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola kila saa nchini Sierra Leone inamaanisha kuwa kuna uhaba mkubwa wa vituo vya afya nchini humo.
Save the Children limesema kuwa kuna visa 765 vipya vya Ebola ambavyo vimeripotiwa katika taifa hilo la Afrika Magharibi huku kukiwa kuna vitanda 327 pekee nchini humo.
Wataalam na wanasiasa wanatarajiwa kukutana mjini London ili kujadili mbinu mpya za kutatua tatizo hilo.
Ni mlipuko hatari wa ugonjwa huo kuwahi kutokea baada ya kuwaua watu 3338 kufikia sasa.
Kuna visa 7,178 ambavyo vimethibitishwa huku mataifa ya Sierra Leone ,Liberia na Guinea yakiathirika vibaya.
Shirika hilo linasema kuwa ugonjwa huo unasambaa nchini Sierra Leone kwa kasi mno huku visa vipya vinavyoripotiwa vikiongezeka mara mbili kila wiki.
Limesema kuwa hata baada ya maafisa wa afya kukabiliana na mlipuko huo katika eneo moja ,ugonjwa umekuwa ukisambaa katika maeneo mengine.
Vilevile viwango vya ugonjwa huo havijaripotiwa kama inavyotakikana kwa kuwa watoto wengi wanaendelea kufariki majumbani mwao ama hata barabarani bila kujulikana.
Mapema mwezi huu ,Uingereza ilisema kuwa itajenga vituo vya afya vyenye vitanda 700 nchini Sierra leone ,lakini vitanda hivyo havitakuwa tayari baada ya wiki moja na kwamba vyengine vitachukuwa miezi kadhaa kukamilika.
Save the Children limesema kuwa iwapo jamii ya kimtaifa haitachukua hatua ,raia wengi wataendelea kufariki majumbani mwao mbali na kutishia kuwaambukiza watu wengi wa familia na jamii nzima kwa jumla

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top