Leo, Octber 2, Staa wa muziki wa bongo flava Nasibu Abdul aka Diamond anasherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa anatimiza umri wa miaka 25.
Mpenzi wake, Wema Abraham Sepetu ambaye huenda wengi wanasubiri kusikia atasema nini au atatoa zawadi gani kwa Diamond ambaye alimpa gari aina ya Nissan Murano, ameandika machache kwenye Instagram na kueleza kuwa anajipanga kuandika ujumbe mzuri zaidi.
“Happy Birthday to you my original soul... ngoja nitulie kwanza ndo niandike caption maana nina mengi kwa kweli... ila jua nakupenda sana...” Ameandika Wema.
Naye Shetta ameamua kumlipa fadhira ya shukurani Diamond Platinumz kwa mchango wake kwenye maendeleo ya muziki wake ikiwa ni sehemu ya kumtakia heri ya siku
Shetta ameandika kwenye Instagram: “Kwenye maisha Kila mtu ana watu wake ambao ni muhimu sanaaaa huenda wamefanya vitu vingi,huenda ikawa ushauri au kupigania kwa njia yoyote ile kuhakikisha mafanikio ya mtu fulani japo hata asilimia ndogo,nisiwe muongo Naseeb katika watu ambao wamekua kwenye sehemu kubwa katika kazi zangu na issue zingine za kawaida katika kipindi kirefu sasa... Mimi namuonaga zaidi ya ndugu na sio rafiki tenaaa kwa vile tulivyoishi na tunavyoendelea kuishi mpaka sasa...back 2 the point Mwaka 1989 mwezi na tarehe kama ya leo huyu jamaa Alizaliwa,so leo ni siku yake muhimu Naomba mnisaidie kumuwish #HAPPYBIRHTDAY Mr Dangote Inshallah M/mungu Azidi kuleta kheri na baraka nakutakia maisha marefu #BabaQayllah cc @diamondplatnumz”
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >