Tanzania
imetajwa kushika nafasi ya 92 katika orodha ya nchi zenye idadi kubwa
ya wazee kati ya nchi 96 duniani huku takwimu za taasisi ya Helpage
International zikionyesha kuwa ifikapo mwaka 2050 idadi ya wazee
itakuwa sawa na ya watoto.
Akiongea
jijini Dar es salaam wakati Tanzania imejumuika na nchi nyingine
duniani kuadhimisha siku ya wazee Mkurugenzi wa Taasisi ya Helpage Bi.
Amleset Tewodros amesema Takwimu zinaonesha kuwa katika nchi 96 duniani
idadi ya wazee ambao wanaanzia umri wa miaka 60 imeongezeka hadi
kufikia asilimia 91 ya idadi ya watu duniani huku asilimia 4 tu ya wazee
wakipata pensheni ya uzeeni na asilimia 73 wakiachwa huku wengi wao
wakitegemea kilimo kama nyenzo ya uchumi wao.
Hata hivyo, Tewodros amesema ukuaji wa uchumi pekee hauwezi kuboresha
ustawi wa wazee na kuitaka serikali ya Tanzania kuweka sera zenye
kusimamia maslahi na yenye kutoa huduma kwa wazee na kushughulikia
matokeo ya uzeeni.
Kwa upande wao wazee Juma Mwita na Amani Mbirikira wamesema serikali
haijaonesha jitihada kubwa katika kuwasaidia wazee hasa waliopo katika
maeneo maalumu yaliyotengwa kwa ajili ya kuwatunza wazee na kueleza
ukosefu wa lishe bora unazorotesha afya za wazee nchini.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >