
Ili kutoka na kuonekana ng’aring’ari, Ester anasema hutumia vipodozi vifuatavyo:
LOTION
Anatumia Revlon lakini wakati mwingine anasema hutumia mafuta ya nazi pekee au huchanganya na Revlon.

Muigizaji wa filamu Bongo, Ester Kiama.
KUCHAEster anasema anaweka kucha bandia kwa gharama ya shilingi 70,000. Kwa matumizi ya wiki mbili.
NYWELE
Msanii huyo ambaye yuko juu kwa sasa, hutumia shilingi 80, 000 kwa kusuka nywele zake saluni ambazo hudumu kutegemea na matakwa yake.

Ester Kiama akiwa kazini.
“Kama nasuka weaving huwa natumia shilingi 400, 000, lakini bei ya
mwisho ya kawaida nasuka weaving kwa shilingi 150,000 kutegemea siku
hiyo nina hali gani kifedha,” anasema Ester.Poda anayopaka inaitwa Mary Kay. Ina foundation yake na make up ambayo inauzwa shilingi 75, 000.
RANGI YA MIDOMO
“Huwa nanunua rangi ya midomo kwa shilingi 25,000 ambayo hukaa kwa muda mrefu sana,” anaongeza.
KOPE
“Siko nyuma sana kwenye kope, huwa natumia shilingi 20,000 kununulia nyusi. Kifupi mpaka naonekana nje ya saluni au chumbani kwangu huwa nimetumia urembo wa shilingi 600,000
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >