Chanzo makini kimeliambia Amani kuwa, licha ya kumalizika kwa mjengo huo, lakini Diamond alikuwa akikataa kuhamia kutokana na umbali kutoka huko hadi mitaa aliyoizoea lakini shinikizo lilikuja kutoka kwa mpenzi wake wa sasa, Zarina Hassan ‘Zari’ ambaye tangu aliponasa ujauzito amekuwa akitamani kuwa karibu na mpenzi wake huyo ila ilikuwa ikishindikana kufuatia mazingira aliyokuwa akiishi mwanzo Diamond, Sinza-Mori, Dar.
“Ndugu yangu kama unataka kufahamu undani zaidi wa hiki ninachokueleza muulize Diamond mwenyewe atakwambia, Zari siku zote alikuwa akitaka kuwa karibu na Diamond, hasa baada ya ujauzito lakini ndugu zake walikuwa wakimkatalia kufanya hivyo kwa kuhofia mimba yake kuchoropoka kutokana na vijicho vya watu.

Mpenzi wa Diamond Platinumz, Zarina Hassan ‘Zari’ akiwa katika mjengo huo.
“Kingine kilichokuwa kikimfanya Diamond ashindwe kumruhusu Zari
kuwepo makazi ya awali ya Diamond ni mama yake alipougua, si unajua
ilidaiwa yalikuwa ni mambo ya kishirikina?“Amini usiamini kutokana na
mambo hayo, ilibidi Zari amwambie Diamond akamilishe nyumba yake haraka
iwezekanavyo ili tu aweze kuhamia na yeye aje kukaa maana tangu awe
mjamzito mara kadhaa amekuwa akitamani sana kuishi na Diamond,” kilisema
chanzo hicho.Juzi, paparazi wetu alimtafuta Diamond laivu ili aweze kuyaweka sawa madai hayo ambapo baada ya kupatikana alijibu hivi:“Kaka, hayo maneno wewe achana nayo maana kila mtu anaongea anachokifahamu, isitoshe yanaongewa mengi kwa kuwa wanajua nimehama Sinza. Ila ninachoweza kusema kila jambo linapangwa na Mungu hivyo sina uwezo wa kuwazuia watu kusema wanachojisikia.”

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >