Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akimkaribisha
mratibu wa msafara wa wachungaji mbalimbali wa Makanisa ya Pentekoste
kutoka maeneo mbalimbali nchini, Mchungaji Bernedict Kamzee kutoka
kanisa la Glory of Crist la mkoani Katavi.
Mchungaji
Benedickto Kamzee kutoka Kanisa la Glory of Christ la Katavi amesema
wamefikia uamuzi huo wa kuja Dodoma kuonana na Edward Lowassa bila
kushinikizwa wala kushawishiwa na mtu yeyote.
“Hakuna aliyetushawishi, hata siyo maaskofu wetu, hili suala halina msukumo wowote zaidi ya msukumo wa Mungu,” alisema Kamzee.
Kamzee alisema wachungaji hao wanatoka kwenye madhehebu ya EAGT, TAG, PEFA, KLPT kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Akizungumza baada ya kuwakaribisha Wachungaji hao, Lowassa amepinga
tuhuma zilizotolewa na baadhi ya watu kwamba amekusanya makundi ya
kumuunga mkono huku akidai hana sababu ya kufanya hivyo na hana uwezo wa
kuwagharamia watu hao wanao muunga mkono.
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza na ujumbe huo wa Wachungaji waliofika nyumbani kwake.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga na Mjumbe wa Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa, Khamis Mgeja akizungumza jambo wakati wa kuwapokea
wageni hao.
Wachungaji hao wakiwa nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli mjini Dodoma.
Maombi yalifanyika na Mchungaji Bernedict Kamzee aliwaongoza wachungaji wote katika maombi hayo.
Maombi yakiendelea
Lowassa akiagana na wachungaji hao leo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >