Habari Kali
Loading...

BAADA YA KUMUACHA MUNGU NA KUENDEKEZA TABIA CHAFU...SHEHE AMUONYA WASTARA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma.
MWANDISHI WETU
KUTOKANA na matukio mabaya yanayomtokea staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma, shehe aliyejulikana kwa jina la Shaban Ally wa jijini Dar, ameibuka na kumuonya mwigizaji huyo kwamba kama anataka ‘mabalaa’ yasizidi kumuandama basi arejee kwa Mungu wake kwani anaonekana amemuacha.
Shehe huyo alifikia hatua hiyo kutokana na Wastara kuandamwa na ajali za mara kwa mara kwani hivi karibuni alianguka chooni na kabla hajakaa sawa akapata ajali ya gari na kuumia usoni.Shehe Shaban alisema staa huyo anatakiwa kumrudia Mungu kwani kawaida kwa mtu anayetokewa na majanga hayo kuna uwezekano mkubwa wa kuwa amebadili aina ya maisha kutoka katika yale yanayompendeza na kuishi yale yanayomchukiza Mungu.
“Wastara anatakiwa kumrudia Mungu wake, aachane na mambo ya duniani maana katika dini ya Kiislamu, usiposwali unaweza kupatwa na majanga ya ajabu kila kukicha kama hivi yanavyomtokea yeye,” alisema shehe huyo.
Akizungumza na gazeti hili, mdau mmoja wa sanaa ya filamu ambaye hakutaka jina lake lichorwe gazetini, alisema Wastara amebadilika kwani maisha aliyokuwa akiishi ya kujiheshimu sana kipindi mumewe Sajuki akiwa hai ni tofauti na sasa kwani amekuwa ni mtu wa kujiachia sana hivyo anatakiwa kubadilika.
“Wastara anatakiwa kubadili nyendo zake, zamani tulikuwa hatumuoni katika skendo magazetini lakini siku hizi anatokelezea kila wakati,” alisema mdau huyo.Baada ya kupata nasaha za shehe huyo, gazeti hili lilimtafuta Wastara ili kujua kama ni kweli ameacha kuswali au la!“Mbona naswali sana! Mimi najua haya yanayonitokea ni majaribu tu na katika maisha kujaribiwa kupo na hata kwenye vitabu vya dini jambo hilo limeelezewa kwa hiyo sioni kitu kigeni,” alisema Wastara.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top