Habari Kali
Loading...

MTABIRI AMPA JIDE UHAKIKA WA KUZAA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha
Habari njema! Kufuatia wimbi la baadhi ya mastaa kulia na tatizo la ugumba, mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahaya Hussein, amemtabiria mema staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’ kwamba endapo atatafuata tiba mbadala, atapata mtoto mwaka huu.

Staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Jide’.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Maalim Hassan alisema kwamba, huu ni mwaka wa mafanikio kwa Jide ambayo mwenyewe yatamshangaza likiwemo suala la mtoto kama atachukua hatua ya kuwaona wataalam wa tatizo lake ambalo aliwahi kulitoa kwenye kipindi chake cha Diary ya Lady Jaydee kupitia EATV la jini mahaba.
Alieleza kwamba jini mahaba huwa lina madhara makubwa kwa mwanamke na ndilo linalowasumbua wengi kwani wanapima vipimo vyote hospitali na kuonekana wana uwezo wa kuzaa lakini wanashindwa kutokana na tatizo hilo.
Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hassan Yahaya Hussein.
“Jide aje kwangu nitamsaidia na ndani ya mwaka huu atapata mtoto maana nyota yake inaonyesha mafanikio mengi au kama akishindwa kuja kwangu basi atafute wataalam wa mambo ya majini, watamsaidia kwani hana tatizo la ugumba ila kukosa kwake mtoto kunatokana na jini mahaba ambalo likimshika mwanamke anajikuta akikosa mtoto,” alisema Maalim Hassan.
Aliongeza kwamba wasanii wengi wa kike wamekuwa wakilalamikia suala la kukosa watoto japokuwa wengine wana tatizo hilo la jini mahaba huku wengine wakitoa mimba na inapofika wakati wa kutaka watoto, wanakosa kwani mayai yanakuwa yameisha.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top