Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Salehe Kilemile (28), mwenyeji wa Mkoa wa Iringa amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa miezi mitano sasa huku ndugu zake wakiwa hawajui.Kilemile aliliambia gazeti hili kwa shida akiwa amelazwa katika Wodi 6, Mwaisela kuwa alikuja Dar es Salaam mwaka 2003 kwa lengo kutafuta maisha na alifikia Ilala Bungoni, Dar.
Akisimulia mkasa wa ugonjwa wake, Kilemile alisema:
“Nilipofika nilianza kufanya biashara ya kuuza maji kwa kutumia toroli kwa kipindi cha mwaka mzima, Januari mwaka jana nikaanza kuumwa.
“Nilikwenda hospitali kutibiwa lakini hali ikazidi kuwa mbaya, tatizo kubwa lilikuwa ni maradhi ya kifua, baada ya wasamaria wema kuona hali yangu inazidi kudorora walinipeleka Hospitali ya Amana.
“Amana nililazwa kwa siku kumi na mbili, hali haikutengemaa nikahamishiwa hapa Muhimbili, ilikuwa Januari 22, mwaka huu.
“Baada ya kufika hapa nilifanyiwa uchunguzi ikabainika moyo wangu ni mkubwa na mapafu yamejaa maji, mbaya zaidi hapa nilipo sina mawasiliano na ndugu zangu walioko Kijiji cha Nyauzwa, Iringa Vijijini, kwani hawajui kama naumwa na ninahofia nitafia hapa Muhimbili.”
Ofisa Ustawi wa Jamii wa Wodi Namba 6, Mwaisela, Veronica Chambuso alisema tangu mgonjwa huyo alazwe, huduma zote zinatolewa na uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
“Tunawaomba ndugu wa mgonjwa huyu waje Muhimbili kwa sababu anakosa msaada wao kwani huduma hata ndogondogo kama vile sabuni, chakula na baadhi ya gharama za kununulia dawa husaidiwa na hospitali,” alisema Chambuso. Kwa yeyote aliyeguswa na habari hii au kujua familia ya ndugu wa Kilemile awasiliane na Ofisi ya Ustawi wa Jamii Muhimbili kwa namba 0784 300 314.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >