Akielezea tukio hilo, Nisha alisema lilitokea usiku wa saa tisa Jumapili iliyopita ambapo watu wapatao watano waliruka ukuta na kuingia ndani na kuvunja gari lake aina ya Toyota Harrier na kuchukua vifaa kibao zikiwemo taa na side mirror.
Mbali na kuchukua vifaa hivyo, pia wahalifu hao walichukua dola elfu moja alizokuwa amezisahau kwenye gari kabla ya majambazi hao kukimbia baada ya Nisha na mfanyakazi wake kupiga mayowe ya kuomba msaada kwa majirani zao.
“Dada ndiye alinishtua, aliniambia kuna watu wanavunja gari, nilipochungulia dirishani nikawaona kama watano hivi, tukaanza kupiga kelele za kuomba msaada, tukawaona wanakimbia na kupakia kwenye gari lililokuwa nje wakatokomea,” alisema Nisha.
“Kweli nimeumia sana, inaonesha watu hawa walikuwa wananifuatilia maana nilichelewa kurudi nyumbani na muda mfupi tu baada ya kurudi ndiyo na wao waliingia, inauma sana,” alisema kwa majonzi msanii huyo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >