Tukio hilo lililozua gumzo katika mitandao mbalimbali ya kijamii, lilijiri usiku wa kuamkia Jumatatu iliyopita katika Jiji la Antwepen, Ubeligiji wakati Shilole aliyeambatana na mpenzi wake Nuh Mziwanda walipokuwa wamekwenda kutumbuiza katika ukumbi unaofahamika kwa jina la Togenblink.
Kwa mujibu wa chanzo, akiwa jukwaani, Shilole alipandwa na mzuka wa aina yake wakati akitumbuiza nyimbo zake kali ndipo nguo zake zilipojiachia na kusababisha nido zake kuonekana, hali iliyowapa mhemko wa namna yake wanaume waliohudhuria shoo hiyo.
Baada ya kunyetishiwa ubuyu huo, mwanahabari wetu ‘alimvutia waya’ Shilole moja kwa moja nchini humo ili kujua nini kilitokea, mwanamuziki huyo alifafanua hivi:
“Ishu ilikuwa hivi, mimi nilikuwa kwenye mzuka wa shoo, kuna mtu ambaye alikuwa ananifuatilia tu kila ninalofanya jukwaani ili aniharibie kwa sababu hakufurahishwa na mimi kufanya shoo na Manganga One (muandaaji).
“Alichokifanya yeye ni kuniwinda pale bahati mbaya braa iliposhuka kutokana na mishemishe za kucheza, akapiga picha hiyo kisha akaiweka mitandaoni ili kunikomoa,” alisema Shilole.
Alipoulizwa sababu za mtu huyo kumtegea picha hiyo, Shilole alisema alimkatalia kufanya shoo yake kwa kumueleza kuwa hawezi kufanya shoo yake kabla hajamalizana na Manganga One ambaye ndiye alikuwa amewahi kuomba huduma yake.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >