Davido ni mtu ambaye huwa anaonyesha vitu vingi anavyonunua kama baadhi ya mastaa lakini kwa upande wa Davido vinahusika vitu vya gharama sana. Ukicheki utaona post akionyesha saa za Rolex ambazo zina material ya dhahabu, magari ya kifahari,nyumba na vitu vingine.
Baada ya kuulizwa kuhusu ishu hii ya kupenda kuonyesha mali zake kwenye instagram Davido alijibu,”Sitaweza kuita kama ni kujionyesha kwa mali zangu. Yale ni magari yangu,zile pesa zangu na pia ile ni page yangu.
Sio lazima uni follow kwenye instagram wala kunifata kwenye mtandao wowote wa kijamii. Ingekuwa tofauti sana kama nataka kujitangazia mali zangu basi ningetumia mabango ya barabarani lakini sifanyi hivyo”
-millardayo
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >