Habari Kali
Loading...

BREAKING NEWZ: TRAFIKI 27 WATIMULIWA KAZI BAADA YA KUJIHUSISHA ZA VITENDO VYA RUSHWA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Askari  27 wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani wamefukuzwa kazi ndani ya kipindi cha miezi sita kutokana  na kujihusisha na  makosa ya rushwa.
 
Kikosi hicho ambacho kimeonya dhidi ya unyanyasaji na ushawishi wa rushwa kwa waendesha pikipiki (bodaboda), kimesema mikakati ya uchunguzi na upelelezi imeimarishwa kwa lengo la kudhibiti matukio ya rushwa  miongoni mwa askari wake.
 
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es  Salaam, Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Taifa,  Mohamed Mpinga alisema askari hao wamekamatwa kutokana na kuimarishwa kwa  usimamizi wa nidhamu na mapambano dhidi ya rushwa.
Alisema, licha ya kufanya kazi kwa weledi,  upo usimamizi wa karibu kwa askari wake kwa lengo la kuepusha jeshi hilo na matukio ya aibu yakiwemo ya kujihusisha na rushwa.
 
"Pamoja na jitihada hizi tunaomba wananchi wote kutupa ushirikiano  kupambana na hali hii hasa kwa kutoa taarifa za askari wanawaomba rushwa,” alisema Mpinga.
 
Alisema taarifa zitawezesha kuwashughulikia kikamilifu  askari husika.
 
Kamanda Mpinga ameelekeza wananchi hao hususani madereva wanaoombwa rushwa na askari,  kuondokana na usiri kwa kuwafichua hata baada ya kuwapatia fedha.
 
"Kama askari akikuomba fedha zozote ni vizuri umpatie kama unazo. Na baada ya hapo, njoo utoe taarifa kwangu nami nitakurejeshea fedha hizo,”alisisitiza Mpinga akisisitiza kwamba wanao wapelelezi wa kubaini ukweli juu ya tuhuma dhidi ya askari wao.
 
Akilenga kujibu malalamiko ambayo yamekuwa yakitolewa mara kwa mara na waendesha bodaboda dhidi ya baadhi ya askari wa usalama barabarani, Mpinga alisisitiza, “kikubwa hapa ni ushirikiano wa kila upande, utakaowezesha tabia hii kukoma."
 
Akizungumzia maboresho katika mifumo ya utendaji kazi wa kikosi hicho, Mpinga alisema yamesaidia kupunguza ajali  za barabarani kuanzia Januari mwaka huu tofauti na kipindi kama hicho, mwaka jana.
 
Takwimu alizotoa kwa waandishi wa habari zinaonesha Januari hadi Juni kumekuwa na  ajali 2,096, vifo vinne na majeruhi 2,366  wakati mwaka jana, katika kipindi kama hicho, ajali zilikuwa 11,311, vifo 1,739 na majeruhi 9,889.
 
Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza kwa kuwa na ajali nyingi ambazo ni 5,052 sawa na asilimia 60.2 ya ajali zote.
 
Kamanda Mpinga alisema katika utekelezaji wa kupunguza ajali hizo,  wameimarisha kitengo cha utoaji elimu kwa umma na kuboresha programu za luninga na redio  kutoa uelewa kwa wananchi.
Credit: Habari leo

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top