MSHAMBULIAJI Luis Suarez alizingirwa na mashabiki wakati akipita mitaa ya Barcelona na mkewe Sofia Balbi jana.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Uruguay aliyejiunga na klabu hiyo ya Katalunya kutoka Liverpool kwa Pauni Milioni 75, alikuwa mwenye tabasamu pamoja na familia yake wakati mashabiki wakimpokea kwa furaha.
Nyota huyo wa zamani wa Wekundu wa Anfield aliyepigwa picha akisaini jezi ya shabiki mmoja ya Lionel Messi - Suarez anatarajiwa kuwa pacha wa Muargentina huyo msimu hiyo Nou Camp.
Kivutio kipya: Luis Suarez akiwa amezingirwa na mashabiki mitaa ya Barcelona na mkewe Sofia Balbi
Suarez akisaini jezi ya shabiki mmoja wa Barcelona ya Lionel Messi jana mchana
Wakati mashabiki kadhaa wa Barcelona walimzingira mchezaji wao huyo mpya, Suarez hawezi kupata fursa ya kutambulishwa rasmi baada ya kusajiliwa katokana na kufungiwa na FIFA kujihusisha na soka kwa meizi minne kufuatia kumng'ata beki wa Italia, Giorgio Chiellini wakati wa mechi baina ya Uruguay katika Kombe la Dunia nchini Brazil
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >