Ndoa ya mastaa wa filamu Bongo, Mike Sangu na Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ inaonekana kurudi na nguvu ya aina yake baada ya wawili hao hivi karibuni kunaswa wakidhihirisha kwamba, licha ya yanayotokea, wanapendana kinomanoma.
Hivi karibuni wanandoa hao walinaswa kwenye mnuso ulioandaliwa na msanii mwenzao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ndani ya Great Wall Restaurant iliyopo Oysterbay ambapo kila wakati waliwarusha roho wenzao kwa kuwaonesha ‘mahaba niue’ na ulipofika muda wa chakula ilikuwa ni mtindo wa nilishe nikulishe.
Akizungumzia mwenendo wa ndoa yao kwa sasa baada ya kuishi mbalimbali kwa muda mrefu, Mike alisema: “Sasa nafarijika sana kuwa karibu na mke wangu, hapa tunarejesha mapenzi yetu, kwa kifupi ndoa yetu ni mpya na tamu kuliko watu wanavyodhani.”
Mike Sangu akimlisha chakula mkewe kwa mahaba.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >