MWANAMME aliyefahamika kwa jina la Kiswigo Anganisye (33) mkazi wa kijiji cha Ibungila, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga fimbo mama yake mzazi sehemu ya kichwani na usoni na kisha kumnyonga shingo na kusababaisha kifo chake,baada ya kumpikia magimbi badala ya ugali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Kamishna msaidizi mwandamizi wa polisi, Ahmed Msangi, mwanamke aliyeuawa ni Martha Kyando (73) mkazi wa kijiji cha Ibungila.
Alisema tukio hilo lilitokea Julai mosi mwaka huu majira ya saa 6:30 usiku katika kitongoji cha Mpunguti kijiji cha Ibungila kata ya Malindo, tarafa ya Ukukwe wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya.
Alisema chanzo cha mauaji hayo ni baada ya mama huyo kumpikia mtuhumiwa magimbi badala ya ugali, ambapo alichukia na kumpiga mama yake.
Alisema uchunguzi unaonesha mtuhumiwa huyo anasumbuliwa na ugonjwa wa akili, na kwamba bado uchunguzi zaidi unaendeea, ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >