MSANII mkongwe wa filamu Ummy Wenslaus ‘Dokii’ amemkabidhi swahiba wake Lucy Komba, kiwanja chenye ukubwa wa robo hekari, kilichopo Bagamoyo mkoani Pwani, tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita, ikiwa ni kutekeleza ahadi aliyoitoa kwenye kicheni pati yake.
“Mimi naona tunaendana kitabia na Lucy, alinipa kazi moja katika filamu yake ya Yolanda nikiwa kwenye kipindi kigumu sana, hivyo ni rafiki yangu wa kweli maana wengine wanaogopa hata kunishirikisha kwenye kazi zao wanajua nitawafunika,” alisema Dokii.
Kwa upande wa Lucy alisema: “Mimi sijawahi kuona urafiki wa namna hii, maana wengine wanatunzana hela kwenye kumbi kitu ambacho siyo sahihi, lakini nashukuru Dokii kanipa kitu ambacho naweza kujivunia maisha yangu yote mpaka wajukuu zangu.”
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >