Esma
mdogo wa Diamond Platnumz, aliyevunja ukimya, asubuhi ya leo juu ya
kufuatwa fuatwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wa marafiki wa Wema Sepetu
#teamWema, ambao wamekuwa wakitukana na kumtaka asimsaidie kaka yake juu
ya shughuli zake za muziki.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Kuna
misemo mingi juu ya mawifi wengi ‘wanagugu’ hasa wa ndugu wa mme, hilo
ndilo lililomkuta dada wa mwanamuziki nyota nayefanya vizuri Bongo nan
je ya Bongo, Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ajulikanaye kwa jina la Esma
maalufu kama ‘Esma Platnumz’ ameamua kufunguka kufuatia kusemwa semwa
sana na jamaa wa mmewe, ambao ni kutoka #teamWema.
Esma
ambaye ameolewa na Meneja wa msanii Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya
Wema Sepetu, Endless Fame Films aitwaye Petit Man, ambapo kupitia
ukurasa wake wa kijamii wa Instagram, mapema asubuhi ya leo aliamua
kufunguka juu ya wanaomfuatafuata kwa kile anachokiposti hasa
kinachohusiana na ‘issue’ za Diamond Platnumz ikiwemo shoo yao ya Mei
Mosi mwaka huu, Mlimani City, Jijini Dar es Salaam.
Wema
Sepetu na mdogo wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye ni mke wa
Petit Man, Esma Khan, wakifurahia jambo hivi karibuni.
Katika kurasa wake huo wa Instagram, Esma aliandika:
“Naomba
nieleweke mi hivi kwanini mnapenda kukuza mambooo… na kwanini mnapenda
kunipangia vitu vya kupost ktk simu yangu mwenyewe alafu kabla
hamjaongea fikilieni mara mbilimbili mnachoongea sio mnakurupuka
mnatukana watu bila sababu. So mlitaka nipost niwaambie watu wasiende
#mlimanicity wat…? nitakuwa mwanga bac mkataaa kwao mtumwa kitu
kinachomuhusu naseeb nitapost mwanzo mwisho sasa nyinyi kwa akili zenu
zilizokuwa fupi mlizani nikiwa na Petty ndio naweza ikataa familia yangu
niingie familia nyingine haitotokea sina akili za kushikiwa kiasi
hicho.. tukaneni mnavyojiskia na mnaotaka kujua kama siko na Petty soon
mtajua kama niko nae au siko nae… nimemaliza haya chambeni mtanikuta
leba alimalizia Esma katika ukurasa wake huo wa Instagram.
Petit Man akiwa na mkewe, Esma wakati wa siku ya ndoa yao.
Hata
hivyo katika post hiyo aliyotupia, Mwanamuziki Diamond Platnumz kaka
wa Esma, alikuwa wa kwanza kuchangia kwa kuandika “Dada’ huku akimtakia
salamu ya asubuhi. Hata hivyo kwa kujibu huko kwa Diamond, immehonyesha
kuwa ameguswa na manyanyaso na maaneno anayosakamwa kwa dada yake,
kwani kwa uzoefu wa Diamond, hajawahi hata siku moja kuchangia post za
jamaa wake wa karibu, lakini kwa hilo la kusemwa dada yake kwa ajili
yake, lilimuumiza kiasi cha kujitokeza waziwazi kwa lengo la kumsapoti
dada yake.
Diamond
Platnumz kaka wa Esma akiwa, kwenye picha ya ‘promo’ ya shoo yao ya Mei
Mosi mwaka huu katika ukumbi wa Mlimani City. Diamond ndio chanzo cha
dada yake kusakamwa na jamaa wa mmewe, Petiti Man.
Esma
mweye marafiki lukuki kwenye akaunti yake hiyo ya Instagram,
wanaofikia 205K (followers), huku akiwa amewa fuata marafiki 313
(Following), kwenye akaunti yake hiyo hadi sasa amesha tupia ‘posts’
480, tokea ajiunge.
Hata
hivyo, ujumbe wake huo aliofunguka juu ya jamaa wa mmewe kutoka
#teamWema, watu 553, wamesha changia (Comments) na LIKES zaidi ya 3,155,
huku wengi wakienda mbali na kumtajaj Wema Sepetu kuwa ndio ‘mchawi’
anayesuka mambo yote hayo.
Petit
Man shemeji wa Diamond ambaye mkewe Esma ameibuka na kufunguka juu ya
#teamWema kumshambulia kwa maneno juu ya yeye kumsapoti kaka yake pamoja
na mpenzi wake wa sasa, Zari the Boss Lady.
Wema Sepetu
Exclusive
hii itaendelea baadae tutakapo kuletea upande wa Wema na Petiti kwani
tayari baadhi ya #teamDiamond wamefunguka kuwa, Petit anatembeana Wema
na kwa sasa wapo kwenye mahusiano mazito kiasi cha kuhatarisha ndoa yake
na mkewe huyo Esma dada wa Diamond, ambapo imebainika kuwa Wema
anataka kumuumiza Diamond kwa upande huo.
Petit Man akiwa na Boss wake Wema Sepetu
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >