Mmoja wa vijana walionaswa kwa ujambazi jana akiwa na msichana anayedaiwa kumvisha pete hivi karibuni.
Vijana wanne walionaswa katika tukio la ujambazi jana. Wa pili kulia ndiye anayedaiwa kumvisha pete mchumba wake hivi karibuni.
MMOJA wa vijana wanne walionaswa jana katika tukio la ujambazi eneo
la Mataa ya Red Cross katikati ya Jiji la Dar es Salaam, hivi karibuni
anadaiwa kumvisha pete msichana mmoja ambaye ni mchumba wake.Vijana hao walitiwa nguvuni na Jeshi la Polisi jana baada ya kuvamia na kumpora fedha raia mmoja wa kigeni eneo la Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Baada ya kufanya tukio hilo, vijana hao walifanikiwa kukimbia na gari walilokuwa nalo ila kulikuwa na msamaria mwema mmoja aliyeona tukio hilo ambaye aliweza kufukuzana nao akiwa na gari yake na kufanikiwa kuwapita mbele na kuwazuia na hivyo kushindwa kupita na gari walilokuwa nalo ndipo askari kufika na kuwaweka chini ya ulinzi.
Vijana hao wanne ambao ni watanashati na ni vigumu kudhani kuwa wanaweza kujihusisha na vitendo vya ujambazi, baada ya kukamatwa na polisi walikutwa na bunduki mbili.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >