Hii
ishu imechukua headlines kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengine
hawakuwa na taarifa kamili kuhusu tukio lenyewe, nikaifatilia kwa
ukaribu na kupata taarifa kamili kupitia kwenye blog ya Issamichuzi ambayo imekua ikifanya vizuri kwenye utoaji wa habari.
Ishu inahusu tukio la ujambazi ambalo
limetokea leo Kinondoni Dar es salaam ambapo majambazi wanne wamemvamia
na kumpora mtu mmoja ambae ni raia wa kigeni (mzungu) na kisha
wakakimbia.
Sasa kwa ufupi ilivyokuwa kuna mtu aliwafatilia mpaka eneo la mataa ya Red Cross na gari yake alafu akawablock ambapo Askari tayari waliopewa taarifa wakafanikiwa kuwakamata wakiwa na bunduki mbili.
Naifuatilia hii kujua mengine mengi zaidi, kila nitakachokipata utakipata hapahapa on millardayo.com.
Maelezo ya hili tukio yametoka kwa Issa Michuzi >>> http://issamichuzi.blogspot.com/
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >