Waandishi wetu BAADA ya kunusurika kifo katika ajali ya gari, ambayo mwenyewe amesema ni ya tisa tokea ajitambue, muigizaji nyota Wastara Juma, amesema anaamini ana jinamizi la ajali linalomuandama, Risasi Jumatano lina mkasa kamili.
Wastara, akiwa katika gari lililokuwa likiendeshwa na msanii mwenzake, Bond Bin Suleiman majira ya saa nne usiku maeneo ya Tabata, walipata ajali hiyo baada ya gari lisilofahamika, kukatiza kabla mbele yao na dereva alipofunga breki ghafla, muigizaji huyo ambaye hakuwa amevaa mkanda wakati huo, alitoka kwenye kiti na kwenda kujigonga kwa nguvu kwenye ‘dashboard’.
Kitendo hicho cha kujigonga kwa nguvu kilisababisha kujichana sehemu ya juu ya jicho lake la kulia, kitu ambacho kilimpa maumivu makali. Alipokwenda kupata matibabu katika zahanati ya Kilimanjaro, alihudumiwa na kuruhusiwa kurudi nyumbani.
Akizungumzia ajali hiyo, Wastara, mjane wa nyota wa zamani wa filamu, Juma Kilowoko ‘Sajuki’, alisema kwa jinsi zinavyomuandama mara kwa mara tokea alipopata ajali ya kwanza akiwa na umri wa miaka kumi, anaamini ana jinamizi.
“Si bure, kutakuwa na kitu tu kisicho cha kawaida kwangu, lakini naamini Mungu yupo upande wangu, maana ajali hizi zote ni mbaya ambazo ningeweza kabisa kupoteza uhai,” alisema muigizaji huyo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >