BABU mwenye umri wa miaka (80), Benedict mkazi wa Tandika Kilimahewa, jijini Dar ametiwa mbaroni kwa madai ya kumbaka mjukuu wake wa kike (jina linahifadhiwa) mwenye umri wa miaka (6).
Tukio hilo la kuhuzunisha linadaiwa kutokea Machi 8, mwaka huu usiku wakati babu na mjukuu wake huyo wakiwa wamelala pamoja chumbani kwake.
Akizungumza na mwandishi wetu, jirani wa babu huyo ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini alidai kwamba aliyegundua mtoto huyo kabakwa ni mjumbe wa nyumba kumi wa eneo analoishi mtuhumiwa anayefahamika kwa jina la Bibi China.
“Sisi hatukuwa na habari ila mjumbe wetu aliposikia watoto wakisema nguo ya ndani ya mwenzao (mtoto aliyebakwa) ilikuwa na damu alimwita na kumkagua, alipomuuliza alipatwa na nini akamwambia babu yake alimfanyia mchezo mbaya,” alidai jirani huyo.
Mama wa mtoto aliyebakwa.
Aliongeza kuwa, baada ya kumhoji kwa kina, mtoto huyo alisema kuwa usiku akiwa amelala na babu yake alimvua nguo na kuanza kumfanyia kitendo hicho.
Jirani huyo alidai kwamba, mtoto aliwaambia kutokana na maumivu makali aliyopata alipiga mayowe ya kuomba msaada lakini babu yake aliongeza sauti ya redio hadi mwisho ili watu wasisikie.
Mjumbe wa nyumba kumi wa mtaa huo, Bibi China alikiri kutokea tukio hilo na kuongeza kuwa mtuhumiwa ambaye hana mke alikuwa akilala kitanda kimoja na mjukuu wake huyo.
Mjumbe wa nyumba kumi wa mtaa huo, Bibi China alikiri kutokea tukio hilo na kuongeza kuwa mtuhumiwa ambaye hana mke alikuwa akilala kitanda kimoja na mjukuu wake huyo.
Mtoto aliyefanyiwa unyama huo akizungumza kwa huzuni na paparazi wetu alisema:
“Nilikuwa nimelala nikashtuka navuliwa nguo na babu na kuanza kunibaka, ilikuwa usiku wa manane, nililia lakini yeye aliongeza sauti ya redio ili watu wasisikie nikanyamaza, asubuhi bibi ndiyo akaniona halafu mama akanipeleka hospitali.”

Mama mzazi wa mtoto huyo, Sikwambii Mateo akizungumza na paparazi wetu kuhusiana na tukio hilo alisema:
“Kitendo alichofanyiwa mwanangu na baba yangu mzazi kimeniumiza sana na imekuwa vigumu kuamini kwa umri aliokuwa nao kama angeweza kufanya kitendo cha kikatili kwa mjukuu wake na kudai anasingiziwa, nilipompeleka Hospitali ya Temeke alipochunguzwa alikutwa na manii,” alisema mama huyo.
Babu huyo mpaka sasa anashikiliwa na Polisi wa Kituo cha Kilimahewa kwa RB nambaKLH/RB/236/2014 KUBAKA.
Babu huyo mpaka sasa anashikiliwa na Polisi wa Kituo cha Kilimahewa kwa RB nambaKLH/RB/236/2014 KUBAKA.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >