Habari Kali
Loading...

PICHA ZAIDI YA 20:MTOTO WA MIAKA 4 ACHOMWA MOTO NA BABA YAKE KISA KULA VIFINYANGO VIWILI VYA NYAMA...NA WENGINE WALIVYOFANYIWA INASIKITISHA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

 Mtoto Anjela Rashid[4]amechomwa moto mikono yote miwili  na baba yake mzazi baada ya kula finyango mbili za nyama zilizopikwa na Baba yake huyo

John Msumba[3]ambaye amekuwa akipigwa mara kwa mara na wakati wote kufungiwa ndani kwa kufuli pia kunyimwa chakula na shangazi yake 

Shangazi huyu ndiye anaetuhumiwa kumtesa mtoto huyu

 Mwanahawa Nassoro[32] mkazi wa mtaa wa Airport Kata ya Iyela. ndiye anaetuhumiwa kumtesa  mtoto John Msumba

Hali ya kiafya ya mtoto huyo si nzuri

Vidole vimevimba kutokana na vipigo vya mara kwa mara

Jeraha kubwa juu ya jicho la mtoto huyo kutokana na kipigo toka kwa shangazi yake

Hiki ndicho chumba alichokuwa anafungiwa mtoto huyo
Licha ya Asasi mbalimbali za kijamii kama TAMWA, GBV,TGNP na Dawati la jinsia la Jeshi la Polisi kukemea vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto Mkoani Mbeya bado vitendo hivyo vimeendelea kushamiri.

Katika matukio mawili yaliyotokea Jijini Mbeya hivi karibuni yamewakumba watoto wawili wa wakazi wa Kata za Iyela na Iduda ambao wamejeruhiwa vibaya kwa vipigo na kuchomwa moto na walezi wao.

Tukio la kwanza limemhusisha mtoto wa kiume aliyefahamika kwa jina la John Msumba[3]ambaye amekuwa akipigwa mara kwa mara na wakati wote kufungiwa ndani kwa kufuli pia kunyimwa chakula na shangazi yake aitwaye Mwanahawa Nassoro[32] mkazi wa mtaa wa Airport Kata ya Iyela.

Vitendo hivyo vimetokana na kudaiwa mtoto huyo kujisaidia hovyo hali iliyomletea usumbufu Mwanahawa ambapo mama yake hayupo na Baba mzazi aliyefahamika kwa jina la Sumba Dinda akiwa machimboni wilaya ya Chunya takribani miezi miwili iliyopita.

Sakata hilo lilibainika baada ya kutokea msiba mtaani hapo Machi 12 mwaka huu majira ya saa nne asubuhi mtoto huyo alipokuwa akilia majirani walisogea eneo la tukio na kukuta mlango umefungwa kwa kufuli hivyo kumlazimu Mjumbe wa mtaa Bi Rehema Mohammed kutoa taarifa kwa Mwenyekiti wa mtaa huo Enock Mwampagama.

Mwampagama alitoa taarifa kwa Mtendaji wa mtaa Henry Chaula ambapo walimkamata kwa mahojiano katika ofisi ya mtaa na baada ya maelezo walimpeleka kituo cha Polisi Mwanjelwa kwa hatua zaidi.

Uchunguzi umebaini kuwa mtoto huyo amekuwa akiteswa kwa muda mrefu ingawa majirani na mwenye nyumba aliyefahamika kwa jina la Ollen Kaguo hawakuweza kutoa taarifa ili kunusuru afya ya mtoto ambaye ameonekana kuwa na ukosefu wa chakula bora na mwili ukiwa umejaa majeraha makubwa.

TUKIO LA PILI

Inasikitisha sana 

Mtoto amelala bila ya uwangali zi wa mtu yeyote yule



Mtendaji wa mtaa huo Emmanuel Malema akihesabu mabati ili yauwze kwa ajili ya matibabu ya mtoto huyo

Hapa ndipo anapo lala mtoto huyo


Mabati yakitolewa ili yauzwe zipatikane fedha za matibabu ya mtoto huyo


Tukio la  pili limetokea machi 8 mwaka huu mtaa wa Kanda ya juu kata ya Iduda ambapo mtoto Anjela Rashid[4]ameunguzwa na moto mikono yote miwili  baada ya kula finyango mbili za nyama zilizopikwa na Baba yake.

Mama yake mzazi wa mtoto huyo hakuwepo wakati wa tukio hilo kutokana na kukimbia kwa mumewe Rashid Mwatiya[32]  ambapo amekimbilia Sumbawanga Mkoani Rukwa majuma mawili yaliyopita ili kuwepa vipigo vya mara kwa mara alivyokuwa akipata.

Baada ya kutenda unyama huo Mwatiya alimfungia mtoto huyo ndani bila kumpatia matibabu yoyote na chakula kwa hofu ya kukamatwa kutokana na majeraha makubwa mikononi hali inayomfanya mtoto kushindwa kula chakula kwa kutumia mikono.

Kutokana na vidonda kutopatiwa matibabu vidole vimeanza kuoza na kutokana na maumivu makali mtoto amekuwa akilia mara kwa mara ndipo kilio hicho kilibainishwa na Balozi Shaban Tolinga ambaye alitoa taarifa kwa Mwenyekiti wa mtaa lakini hakuchukua hatua zozote huku mikono ya mtoto ikioza.

Hata hivyo Mtendaji wa mtaa huo Emmanuel Malema baada ya kupata taarifa ya ukatili huo aliamua kufuatilia akiwa na waandishi wa habari ambapo mtoto alikuwa amelala sebuleni bila uangalizi wowote na njaa hali ilyomlazimu Mtendaji kuchukua mabati manne kuyauza ili kumpatia matibabu na chakula na kuhakikisha mtuhumiwa anakamatwa na kufikishwa kwenye mkono wa sheria.

Kwa upande wake Afisa Ustawi wa Jamii Kata ya Iduda amesema vitendo vya kikatili katika Kata yake vimekuwa vikifumbiwa macho kwa hofu ya kujenga uadui kwa watu wanaotoa ushahidi.

Aidha Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa amesema vitendo vya kiatili havita vumiliwa hivyo wananchi watoe ushirikiano ili kukomesha vitendo hivyo ambavyo vimekithiri kwa siku za hivi karibuni.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top