Habari Kali
Loading...

SHEDDY CLEVER; PRODYUZA ALIYEBEBWA NA NYOTA YA DIAMOND

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Prodyuza aliyebebwa na nyota ya Diamond, Shadrack Willced Mongi au Sheddy Clever.
KILA mtu ana ndoto zake kichwani, ili kuzibadilisha ndoto hizo kwenye uhalisia inahitajika kujitoa kinagaubaga ndipo mafanikio yatakapoonekana.
Nasibu Abdull ‘Diamond’akiwa studio.
Shadrack Willced Mongi au Sheddy Clever kama anavyofahamika na wengi naye alikuwa ni prodyuza wa muziki mwenye ndoto zake, alitamani kufanya kazi na wasanii wakubwa wa Bongo Fleva.
Miongoni mwa wasanii ambao alitamani kufanya nao kazi ni pamoja na Nasibu Abdull ‘Diamond’ ambaye ameendelea ‘ku-maintain’ ustaa kwa miaka zaidi ya mitano ndani gemu la Bongo Fleva.
Alijipinda kupitia studio zake za Burn Records pande za Dar West, Tabata jijini Dar. Akaandaa mikakati ya kumsaka Diamond ili aweze kufanya naye kazi akiamini kuwa ndiyo utakuwa mgongo wake wa mafanikio.
...Sheddy Clever akiwa Studio.
Alitokea wapi?
Alianiza kwenye U-DJ, alipiga kwenye kumbi za starehe pande za Tabora. Mwaka 2006 alifanikiwa kuanza kujifua katika studio ya kanisa iliyokuwa ikiitwa Number One Production.
Hapo alifanikiwa kuwa bora katika eneo la uprodyuza, ndipo mwaka 2010 alipoibuka jijini Dar na kuanzisha studio zake.
Kwa mara ya kwanza alikutana na msanii Pancras Ndaki ‘PNC’, akafanikiwa kutengeneza naye ngoma ya Swagga aliyomshirikisha Nay wa Mitego.
Mafanikio yakaanza kujitokeza, akafanya kazi na wasanii kama Dayna (Nivute Kwako), Rich Mavoko (Merry Me) na Matonya (Zilipendwa).
USO KWA USO NA DIAMOND
Sheddy aliisaka namba ya Diamond kwa udi na uvumba, akamueleza kuhusu uwezo wake wa kuzalisha mapigo ya muziki, Diamond akaelewa na kukubali kufanya naye kazi.
“Nilimsikilizisha ngoma kama kumi. Kati ya hizo akazipenda tatu ikiwemo ya Number One na nyingine mbili ambazo tayari ameshamaliza kuzitengeneza bado kutoka tu,” alisema Sheddy.

ASABABISHA BIFU LA DIAMOND/ DAYNA
Wakati mafanikio makubwa yakianza kuonekana kwa Sheddy, uliibuka mzozo wa msanii Diamond kudaiwa kumuibia wimbo msanii mwenzake Dayna (Mwanaisha Said).
“Nilikuwa nimetengeneza biti ya wimbo wa My Number One. Dayna alipokuja studio aliipenda sana lakini hakuilipia na wala hakuniambia kama anataka kuitengenezea wimbo zaidi ya kuipenda. Alivyokuja Diamond nilimsikilizisha, akaipenda, nikamuuzia ngoma ikakubalika,” alisema Sheddy.

MAFANIKIO
Sheddy anasema kwa kipindi kifupi ameona matunda ya kazi zake. Ameshaporomosha mjengo wa maana pande za Tabata, Kinyerezi. Anamiliki mkoko aina ya Noah, Library ilioshiba ya kukodisha CD pamoja na bodaboda kadhaa.
Kuonesha kuwa Diamond naye hakujutia maamuzi ya kufanya kazi na Sheddy, alipokuja Davido wa Nigeria katika shoo ya Fiesta mwaka jana, alimpeleka Burn Records, wakafanya Number One Remix.

NUMBER ONE REMIX YAMPAISHA
“Diamond alinipigia simu na kuniambia niwatengenezee Remix ya My Number One lakini biti ileile ila vitu vidogo vya kuongezea. Nikafanya hivyo kwa Tudd Thomas pale Tongwe Records kwa kuwa studio yangu nilikuwa naikarabati.
“Nashukuru ile ngoma imenitoa sana kwani sasa hivi inapigwa sana redioni huko Nigeria na baadhi ya nchi za Afrika.” Anasema Sheddy.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top