WEMA Isaac Abraham Sepetu si jina geni Bongo, ni suptastaa
aliyetokana na kushiriki mashindano ya kugombea Taji la Miss Tanzania
2006, akashinda. Pia anafanya vizuri kwenye filamu za Kibongo.
Ni mrembo mwenye historia ndefu ikisindikizwa na matukio mabaya na mazuri katika kipindi chote tangu ashike taji hilo mpaka sasa.
Ni mrembo mwenye historia ndefu ikisindikizwa na matukio mabaya na mazuri katika kipindi chote tangu ashike taji hilo mpaka sasa.
Katika mahojiano na Amani mwishoni mwa wiki iliyopita, Wema ambaye ni
mtoto wa mwisho wa aliyewahi kuwa waziri wa kwanza wa habari na
utangazaji wa serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyoungana na Chama
cha Afro Shirazi (ASP), alianika maisha yake ‘ei tu zedi’ kama
ifuatavyo:
Amani: Kwa kuanza Wema, tuambie mko wangapi katika familia yenu ya marehemu mzee Sepetu.
Wema: (huku akiachia tabasamu) tupo wengi kidogo, wanne. Wa kwanza yupo Marekani anafanya kazi, wa pili yupo hapa Bongo, ameolewa. Wa tatu pia yupo Marekani anasoma na anafanya kazi, mimi ni last born (mtoto wa mwisho).

Amani: Hivi, ulijiandaa kuwa Miss Tanzania mwaka 2006?
Wema: (kicheko) sikujiandaa. Kwanza nilikuwa naiona ipoipo tu. Sikuwahi kufikiria kabisa.
Wema: (kicheko) sikujiandaa. Kwanza nilikuwa naiona ipoipo tu. Sikuwahi kufikiria kabisa.
KUMBE MZEE SEPETU NDIYO CHANZO
Wema aliendelea kusema kuwa, baba yake mzazi marehemu mzee Sepetu ndiye alikuwa chachu ya yeye kujitumbukiza kwenye mashindano ya urembo nchini.
“Baba yangu mzee Sepetu, Mungu amrehemu alipo, alikuwa akiyapenda sana Mashindano ya Miss Tanzania, kila mwaka alikuwa anashiriki kushuhudia tena kwa kukata tiketi mapema.

“Nakumbuka mwaka 2003, ule wa Sylvia (Bahame) tulikuwa nyumbani
tukiangalia mashindano kwa runinga kwa sababu baba alikosa tiketi siku
hiyo, akasema kumbe kuangalia mashindano kwenye runinga nyumbani ni
vizuri sana, akasema anatamani siku moja amwone binti yake mmoja
anashiriki hata kama hatashinda.
“Lengo lake lilikuwa akate tiketi akijua anayekwenda kumwangalia ni
binti yake. Hata hivyo, sikuhifadhi akilini neno lake. Baada ya
kushiriki 2006 na kutwaa taji ndipo nilipokumbuka maneno yale, siku moja
tukiwa sebuleni nikamuuliza kama anakumbuka kauli yake, akasema
anaikumbuka vizuri.”
Wema Sepetu.
ANAYAONAJE MAISHA BAADA YA KUWA STAA
“Kwanza nianze kwa kusema kwamba nilishajuta sana kuwa staa, lakini ikafika mahali Mungu ndiyo kanipangia kuwa hivi, kwa hiyo majuto yanatokea kwa kila mtu.
“Kwanza nianze kwa kusema kwamba nilishajuta sana kuwa staa, lakini ikafika mahali Mungu ndiyo kanipangia kuwa hivi, kwa hiyo majuto yanatokea kwa kila mtu.
“Ila ninachomshukuru Mungu ni kwamba, mpaka sasa nina marafiki wengi
ambao nilikuwa nao kabla sijawa miss na baada ya kuwa lakini hatuna
mazungumzo ya ndani sana.
“Unajua baada ya kuwa miss nilikutana na watu wapya kikazi. Pia ujue niliingia kwenye filamu, kwa hiyo nilikutana na wapya wengine.
“Unajua baada ya kuwa miss nilikutana na watu wapya kikazi. Pia ujue niliingia kwenye filamu, kwa hiyo nilikutana na wapya wengine.
KUMBE K-LYNN, RAY C WALIKUWA WAKIMZINGUA
Amani: Kabla ya kuwa staa, naamini kuna mastaa waliokuwa wakikuvutia, ni akina nani hao Wema?
Wema: (anatabasamu) kama angetokea mtu na kuniuliza napenda kuwa kama nani, ningemjibu nataka kuwa air hostess (mhudumu kwenye ndege). Kwa sababu dreams (ndoto) zangu zilikuwa huko.
Ila watu waliokuwa wakinivutia nikiwaona miaka ile ni Ray C (Rehema Chalamila) na K-Lynn (Jacqueline Ntuyabaliwe).

“Nakumbuka tulikuwa tukitoka shule na wenzangu tunakwenda kwenye duka
la Mpemba mmoja kula sambusa, sasa magari yaliyokuwa yakipita nilikuwa
namuona Ray C au K-Lynn.
“Ila nilikuwa naona wananizingua na umaarufu wao kwa sababu mimi Wema sikuwa na ndoto za kuwa maarufu.”
“Ila nilikuwa naona wananizingua na umaarufu wao kwa sababu mimi Wema sikuwa na ndoto za kuwa maarufu.”
NI LINI ALIANZA MAPENZI?
Wema: (akionesha umakini) nilianza mapenzi mwaka 2005 wakati nashiriki Miss Dar Indian Ocean, ingawa mpenzi wangu huyo simtaji jina. Huyu sweet niliachana naye baada ya kushiriki urembo mwaka huo.
“Awali aliniambia nikishiriki mashindano ya urembo mimi na yeye basi, yaani hakupenda, alijua nitakuwa mtu wa watu wengi.

“Hata hivyo, nilishiriki kwa siri na siku ya shindano nilishtuka
kumuona akiwa mbele anapiga picha. Lakini alinielewa kwani aliendelea na
mimi mpaka nilipofika Miss Tanzania, baada ya hapo, kwa sababu nilikuwa
bize sana nikawa sionani naye, kila akinipigia simu nipo bize, yeye
mwenyewe akasema tuachane, tukaachana lakini hadi sasa tunasalimiana
vizuri tu.”
MARA YA KWANZA KUKUTANA NA KANUMBA WALIKISI MARA MBILI
Amani: Vipi kuhusu Kanumba?
Wema: (anaonesha masikitiko) siku ya kwanza kukutana na Kanumba, da! Mungu ailaze mahali pema roho yake. Nilikuwa na dada yangu anayeishi Sinza, maana nilikuwa naishi kwake. Siku hiyo mimi na dada tulikuwa mitaani tukitafuta carpet (zulia).

“Tulifika nje ya duka moja tukamkuta Kanumba na makamera yao ya muvi
pale. Akatokea Mayasa Mrisho (Maya) tukasalimiana, akaniambia amenipenda
sana, nikamjibu mimi pia, tena napenda anavyoigiza.
“Akapaza sauti kumwambia Kanumba umemuona Wema, Kanumba akasema ooo, sawa nimemuona, lakini akaendelea na shughuli zake. Aliniringia f’lani hivi.
“Akapaza sauti kumwambia Kanumba umemuona Wema, Kanumba akasema ooo, sawa nimemuona, lakini akaendelea na shughuli zake. Aliniringia f’lani hivi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >