Habari Kali
Loading...

BAADA YA PAPA KUJITABIRIA KIFO, WAUMINI WAANZA KULIA NA KUOMBOLEZA KWA MAJONZI..!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MAJONZI yameanza kuwakuta baadhi ya waumini wa kanisa katoliki Bongo kufuatia kiongozi wao wa dunia, Papa Francis (77) kuweka hadharani hatima ya maisha yake.
Papa Francis.
Katikati ya wiki hii, Papa Francis akiwa anarejea Vatican kutoka ziarani Korea Kusini alisema anaamini ana miaka miwili au mitatu ya kuishi duniani na si vinginevyo.
“Najaribu kufikiria kuhusu dhambi zangu na makosa yangu, siwezi kujivuna. Najua kwa sababu hali hii itadumu kwa muda mchache. Miaka miwili au mitatu nitakuwa nimeondoka na kwenda nyumbani kwa baba,” alisema papa huyo kauli iliyozua sitofahamu duniani.
Licha ya kwamba Papa Francis hakusema lini anaweza kuiaga dunia lakini baadhi ya vyanzo vya habari kutoka Vatican vinasema kiongozi huyo amekuwa akiwaambia wasaidizi wake wa karibu kuhusu siku zake chache zilizosalia duniani.
Wachambuzi wa masuala ya kiimani kwa nyakati tofauti walisema huenda kiongozi huyo ana tatizo la kiafya ambalo halijawekwa wazi.
Jijini Dar es Salaam, baadhi ya waumini wa kanisa katoliki waliozungumza na gazeti hili walisema kauli hiyo ya papa imewatia majonzi kwani inawapa tafsiri ya  kumkosa siku si nyingi.
Samuel Msokali, anaabudu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Maxmillian Kolbe, Mwenge yeye alisema:
“Nimepokea kwa majonzi makubwa kauli ile ya papa. Kama anaumwa atuweke wazi waumini wake. Kama amepewa maono na Mungu pia atuweke wazi tujue.”
Mama Juliana, yeye anaabudu Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Joseph, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, alisema:
“Siamini kama kweli papa alisema yale maneno. Ni makali sana na yanachoma, nilitoa machozi niliposikia, nimeanza kulia hata kabla ya siku yake haijafika.”
Muumini mwingine anayeabudu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Anuarite, Makuburi (aliomba jina lake lisiandikwe) alisema anaamini papa ameona katika maono kifo chake kwa sababu ya usafi wa moyo.
“Mimi naamini papa ni msafi wa moyo kwa hiyo ameoneshwa na Mungu kwamba muda wake wa kumtumikia duniani umeisha. Kule kusema ni kutuweka tayari kupokea taarifa,” alisema muumini huyo wa kiume.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top