Habari Kali
Loading...

KWANINI UMNYIME MWEZI WAKO PENZI...??...SOMA HAPA UELIMIKE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

.

Hata kama kuna kisa kilichosababisha mgombane, usiruhusu hali hiyo itokee, mwanamke fahamu ugomvi ndani ya nyumba ni mgeni wa kuingia na kutoka, ni shetani huyu, usimruhusu kwako.

Pia elewa mwanamke kuwa ndoa ni kifundo cha mua, unapoutafuna unakuwa mtamu, ikiwa wakati ule unapoutafuna na kuusikia kuwa ni mtamu ndiyo wakati wa raha na starehe katika ndoa.


‘Bata’ zote unazokutana nazo siku za mwanzo wa ndoa yako zinatakiwa kuendelezwa siku zote, mtaambiana tukale bata huku au kule.


Mnaweza kujikuta mnasema leo twende hotelini na mahaba yetu tukamalizie huko,  huo ndiyo wakati wa mua mtamu lakini kuna siku utakutana na fundo kubwa katika mua na siku hiyo utabaini mgeni katika ndoa yenu na si mwingine ni ugomvi.


Mgeni huyo ni kama fundo la mua. Ikiwa wewe utaruhusu huo ugomvi uendelee kwa muda wa mwezi, je ndiyo utamnyima mumeo unyumba kwa siku zote hizo?
Dini zote mbili kunyimana unyumba ni dhambi. Lakini hata kisheria ni kosa kubwa sana. Je, unataka mumeo aende wapi? akapate burudani kama atakayopata kwako wewe mkewe kwa nani?


Kama mwezi mzima wewe utakuwa ‘unamchunia’ eti kwa sababu amekuudhi na hutaki kurudisha mapenzi na kumsamehe mumeo kosa linalosameheka unadhani atafanya nini?


 Kumbuka kuwa hakuna kosa lisilosameheka kwenye ndoa na ulishakula kiapo kanisani au kwa shehe kwamba mtavumiliana kwa shida na raha. Vitabu vitakatifu pia vinasema msamehe aliyekukosea saba mara sabini! 

   
Wanawake mpo wengi wenye tabia hizo, mwanaume akikukosea kidogo tu fimbo ndiyo hilo la kumnyima unyumba. Ndoa tamu bibi, asikwambie mtu. Watu wanakesha wakizitafuta ndoa kwa waganga, makanisani na misikitini. Wengine hospitali kwa kusafisha vizazi, wewe umepata halafu unaichezea? Acha hizo.


Leo mumeo unampa adhabu hiyo, atabebwa juu kwa juu huyo! Atakwenda kutafuta burudani nje utapata faida gani? Halooooo shauri yako, utakuja kuchekwa Heheeeeee, utalijua jiji!

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top