Mkwara mbuzi! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya njemba mmoja ambaye hakufahamika kujitokeza na kumpiga mkwara asiendelee na shughuli za uzinduzi wa filamu yake.
Tukio hilo lilijiri wikiendi iliyopita wakati Wastara akizindua filamu yake ya Last Decision katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar.
Njemba iliyodai kuwa ni Afisa Mtendaji katika maeneo ya Mbagala-Zakhem, Dar akijaribu kumzuia Wastara katika uzinduzi huo.
Staa huyo alipofika maeneo ya Mbagala-Zakhem, Dar ndipo njemba huyo alipojitokeza na kumtaiti Wastara akidai yeye ni Afisa Mtendaji hivyo waondoke eneo hilo.
Hata hivyo, Wastara alionesha vibali vya kufanya shughuli hiyo ndipo njemba huyo alipotaitiwa na wananchi na kuambiwa achukue taimu.
Hata hivyo, Wastara alionesha vibali vya kufanya shughuli hiyo ndipo njemba huyo alipotaitiwa na wananchi na kuambiwa achukue taimu.
“Jamani hata sielewi kibali nimeshalipia na ninacho lakini angalia huyu baba ametuharibia siku wakati mimi nimeamua kufanya uzinduzi wa tofauti mitaani na si kwenye kumbi kama wengine,” alisema Wastara.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >