Habari Kali
Loading...

AFUNGWA JELA MIAKA 15 KWA KOSA LA KUMCHEZEA MTOTO WA MIAKA 3 SEHEMU ZAKE ZA SIRI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Mahakama ya Wilaya ya Ilala, imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela, Hassan Suleiman (23) mkazi wa Kitunda, kwa kupatikana na hatia ya kumdhalilisha mtoto wa miaka mitatu kwa kumchezea sehemu zake za siri kwa vidole.
 
Akisoma hukumu hiyo jana, Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassani Juma alisema kuwa mshitakiwa huyo atatumikia kifungo hicho iwe fundisho kwa wengine.
 
Pia Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo kutumia mashahidi wanne ikiwamo mtoto aliyefanyiwa vitendo hivyo pamoja na ushahidi wa fomu ya Polisi ya Matibabu (PF3) iliyotolewa mahakamani hapo kama kielelezo.
 
Awali, Wakili wa Serikali, Felista Mosha alidai mshtakiwa alitenda kosa hilo Oktoba 23, mwaka jana, maeneo ya Kitunda Migombani wilayani Ilala ambapo alimwingizia vidole sehemu za siri mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa shule ya awali ya Kitunda Mwanagati,  wilayani humo.

Katika utetezi wa awali alioutoa mshitakiwa, alidai mtoto huyo alipotea baada ya kutoka shuleni na kwenda nyumbani kwake kuomba maji ya kunywa ndipo alimueleza Suleiman kwamba amsaidie kumpeleka nyumbani kwao ambako hata yeye mwenyewe hakujui.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top