Habari Kali
Loading...

BANZA STONE KUOA KIMYAKIMYA...ASEMA HAKUNA MSANII ATAKAYESHIRIKI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MWANAMUZIKI wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza stone’ amefunguka kwamba ndoa yake itafanyika kimyakimya na hakuna msanii atakayeshiriki.
Mwanamuziki wa bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza stone’.
Akipiga stori na gazeti hili, Banza alisema ndoa yake haitakuwa na michango, kwani atamuita sheikh na watoto wa madrasa kwa ajili ya kupiga dufu, huku mama yake mzazi akiwa pembeni kama shahidi wakati atakapomuoa mchumba wake aitwaye Zubeda ambaye anaishi Tanga hivi sasa.
“Ndoa yangu haitakuwa na mbwembwe na itakuwa ya kikubwa zaidi, kwani hakuna msanii yeyote atakayeshiriki itakuwa ya kimyakimya tena asubuhi na mapema kwani sioni sababu ya kutangaza au kufanya sherehe kubwa,”alisema Banza.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top