Lulu na Martin Kadinda
Habari mpya zisizo na shaka ni kuwa Martin Kadinda kwasasa amekuwa meneja wa star wa filamu nchini Lulu Elizabeth Michael.Hayo yanakuja baada ya habari kuwa tayari Martin ameacha kazi ya umeneja kwa Wema Sepetu. Akizungumza na Globalpublishers Martin alisema kuwa yeye na Lulu siyo wapenzi bali ni mtu na meneja wake kwasasa na watakuwa wakiambatana pamoja sehemu mbalimbali
“Kwa sasa ‘nammeneji’ Lulu. Naomba ieleweke hivyo ili baadaye watu wasiseme tunatoka kimapenzi kwa sababu nitakuwa naonekana naye kila mara na kwenye sehemu tofauti," alisema Martin ambaye pia ni fashion designer
Kwa upande wa Lulu nae alisema amefurahi kuwa na Martin kama meneja wake
"Huyu ni meneja bora na siyo bora meneja kwa hiyo kama mtu anataka kufanya kazi na mimi, aanze kwa meneja wangu"
Hata hivyo licha ya Martin kuachia ngazi kwa Wema Sepetu ambapo hivi karibuni alimlaumu kuwa hashauriki lakini kikazi katika filamu hakuna kilichoonekana kwa Wema kuwa alikuwa na meneja zaidi ya kuporomoka na kukosa kazi sokoni.
Martin Kadinda na Wema Sepetu
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >