Habari Kali
Loading...

GOOD NEWS: Wasichana 200 waliotekwa na Boko Haram watarajiwa kuachiwa huru

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Boko HaramSerikali ya Nigeria imesema wamefikia makubaliano ya kusitisha mapambano na kikundi cha wapiganaji wa Boko Haram, ambapo katika taarifa rasmi iliyotolewa kuhusiana na makubaliano hayo imesema kuwa wameafikiana kuhusu kuachiliwa huru kwa wasichana zaidi ya 200 waliotekwa nyara huko Chibok.
Kwa mujibu wa katibu mkuu wa serikali ya Nigeria, Hassan Tukur amesema maafikiano hayo yamefikiwa leo baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina ya upande wa serikali na wawakilishi wa kikundi hicho, yaliyodumu kwa takribani mwezi mmoja.
Serikali imesema imekuwa ikifanya mazungumzo na viongozi wa Boko Haram mara kwa mara, ikiwa ni pamoja na yale yaliyofanywa mara mbili nchini Chad chini ya uongozi wa Rais wa Chad, Idris Derby.
Tukur amesema kuwa Boko Haram wamekubali kuwaachilia huru wasichana waliotekwa nyara mjini Chibok, japo muafaka zaidi juu ya hilo utapatikana punde baada ya kumalizika mkutano mwingine unaotarajiwa kufanyika wiki ijayo nchini Chad.
Bado haijafahamika kama makubaliano yaliyofikiwa baina ya pande hizo mbili yanahusisha na matakwa yaliyotolewa awali na kundi la Boko Haram kutaka kubadilishana wasichana hao na wafungwa ambao ni wapiganaji wa kikundi hicho wanaoshikiliwa na serikali ya Nigeria.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top