Habari Kali
Loading...

Kijana Apigwa mawe na kisha kuchomwa moto baada ya kuiba ng'ombe wawili huko Kahama

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >


Mwanamme mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Sabo mwenye umri wa miaka kati ya 30 hadi 34 ameuawa kwa kupigwa mawe na fimbo na wananchi waliojichukulia sheria mkononi kisha mwili wake kuchomwa moto baada ya kutuhumiwa kuiba ng’ombe wawili katika kijiji cha Shininga kata ya Kilago,tarafa ya Dakama wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga.

Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SACP Justus Kamugisha tukio hilo limetokea juzi saa 11 jioni ambapo mwanamme huyo mkazi wa Chibiso alipigwa na wananchi hao baada ya kumtuhumu kaiba ng’ombe wawili mali ya mtu ambaye hakufahamika jina wala makazi yake na thamani ya ng’ombe hao haijulikani.

Kamanda Kamugisha amesema chanzo cha tukio hilo ni wananchi kujichukulia sheria mkononi na kwamba jeshi la polisi linaendelea na msako kuwabaini na kuwakamata wahusika wote wa mauaji hayo.

via: Mpekuzi

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top