Habari Kali
Loading...

KWA WANAUME: UKIAMBIWA SENTENSI HIZI NA MWANAMKE WAKO UJUE BASI ANAKUDANGANYA...!! SOMA HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

1.Ungejua wala sina haraka ya kuolewa!
Hakuna mwanamke ambaye yuko tayari kuona umri unamkimbia, ameshahudhuria harusi za marafiki zake, pengine ameshaliona mpaka gauni litakalompendeza harusini halafu eti akuambie hana haraka ya kuolewa!

2. Ngoja Nikavae, nipe dakika tano tu!
Ukiambiwa hivi, basi Kama hujanywa soda muda mrefu huu ndo muda muafaka! Tafuta sehemu yenye utulivu upate kinywaji chako maana hizo dakika tano ni dakika hamsini!

3.Wala sioni  wivu ukiwa unawaangalia wanawake wengine
Akikuambia hivi, anataka tu akuonyeshe ni jinsi gani amekua kiakili, na ni mtu muelewa saana.. lakini moyoni mwake anatamani kukupiga makofi unapomuangalia msichana mwingine huku akijiuliza moyoni,  kwani huyo anaemuangalia amenishinda nini?


4.Hata kama unapata mshahala mdogo, mi nimeridhika kabisaa.. (mmmh Kweli?)

5.Mbona dada yako hajaja kututembelea muda mrefu? Nime”mmiss” sana! Mara chache sana kutakuwepo na  upendo kati ya mpenzi wako na dada yako au hata mama. Kwa mwanamke ni  bora umletee  wadogo zako wa kiume kumi nyumbani atawalea ila sio dada yako mmoja!

6.Napenda Kila kitu kutoka kwako Unadanganywa!  lazima kuna kitu angalau kimoja angependa ubadilike au anapanga kukubadilisha.. mara nyingine atataka hata uwe kama Yule kaka anayemuona kwenye tamthilia!

7.Sihitaji Kuwa na mwanaume kwa sasa.
 Niko “busy” sana! Au utaambiwa nimeumizwa sana hata kama yeye ndiye mgonvi namba moja! 
8.Wala sina njaa, mi nikila kidogo tu nashiba!

9. Niko sawa tu, hamna shida! Ukweli ni kwamba anataka uongeze juhudi kumbembeleza ili akuambie ni nini shida.

10.Simuambii yeyote! (hapo imekula kwako usitegemee atakaa nalo moyoni!)

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top