Habari Kali
Loading...

Liberia yaelemewa mapambano dhidi ya Ebola, Watu wazidi kufa!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
ebola-virus-393486Wakati ulimwengu ukikabiliwa na changamoto ya kukabiliana na janga la ugonjwa wa Ebola, nchi ya Liberia ambayo imeathiriwa zaidi na ugonjwa huo imetangaza kukabiliwa na upungufu wa mifuko maalum ya kubebea miili ya marehemu waliofariki kwa Ebola.
Serikali ya Liberia imesema kwa sasa ina takribani mifuko 4,900 tu, ikilinganishwa na idadi ya zaidi ya mifuko 85,000 inayohitajika ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo.
Takwimu zinaonesha uhaba mkubwa wa vifaa muhimu katika kukabiliana na ugonjwa huo, ikiwa ni pamoja na suti za kujikinga, kifaa maalum cha kujikinga uso, glavu, miwani pamoja na mifuko ya kubebea maiti.
Imeripotiwa kuwa Liberia itahitaji boksi milioni 2.4 ndani ya kipindi cha miezi sita, huku kiasi kilichopo kwa sasa ni boksi 18,000, na kwa upande wa idadi ya kofia zinazohitajika ni milioni 1.2 na kwa sasa inaripotiwa kuwa ziko 165,000. Uhaba huo unatajwa kama kikwazo kikubwa katika kukabiliana na ugonjwa huo ambapo katikati ya wiki hii kuliripotiwa mgomo wa wauguzi wakidai nyongeza ya mshahara.
Tangu kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola mwezi wa tatu mwaka huu, takribani watu 9000 wameripotiwa kuathirika, na wengine zaidi ya 4,000 wameripotiwa kupoteza maisha katika nchi za Guinea, Liberia na Sierra Leone kwa mujibu wa takwimu za shirika la afya duniani, huku zaidi ya nusu ya vifo hivyo vikiripotiwa kutokea nchini Liberia.
Taarifa ya shirika la afya duniani (WHO) imetahadharisha kuwa huenda hali ikawa mbaya zaidi siku za usoni katika mataifa hayo matatu na kupelekea idadi ya waathirika kuongezeka na kufikia 10,000 kwa wiki hadi itakapofikia mwisho wa mwaka.
Liberia inatarajia kupokea vifaa mbalimbali wiki ijayo ikiwemo mifuko ya kubebea maiti, lakini taarifa ya shirika hilo inaongeza kuwa vifaa hivyo bado havitoshelezi kukidhi hali ya uhitaji iliyopo katika nchi hiyo.
Mbali ya nchi hizo tatu zinazotajwa kuathiriwa zaidi na ugonjwa wa Ebola, nchi nyingine zilizotajwa kuripotiwa kukumbwa na janga la ugonjwa huo ni pamoja na Senegal, Nigeria, Hispania na Marekani.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top