Habari Kali
Loading...

NIMECHOKA KUMSALITI MUME WANGU...NAOMBENI USHAURI JAMANI, SIJUI NIFANYAJE ILI NIACHE HII TABIA...!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >



Niliolewa na mume wangu April 2010. Ingawa kwa mara ya kwanza sikuwa nampenda mume wangu, lakini nilikuwa nazidi kuzeeka na sikuweza kumpata mwanaume yeyote wa dini yangu na kabila langu, wazazi wangu walinitambulisha kwa huyu mwanaume na kunilazimisha niolewe nae.


Mara ya kwanza natoka nje ya ndoa ilikuwa bahati mbaya. Nilikutana na mpenzi wangu wa zamani na tukabadilishana number za simu. Huwa tunachat mara zote na nikaanza kutoifurahia ndoa yangu kwahiyo nikamshawishi huyu ex wangu. Tukaanza kukutana na kuanza kufanya mapenzi. Baadae akahama kutoka huku mjini na kuhamia mji wa mbali na hatimae mahusiano yetu yakaishia hapo.


Kutoka hapo nimekuwa na mahusiano na wanaume wengine wanne akiwemo mume wa rafiki yangu. Nina watoto wawili na mume wangu lakini siridhiki katika mapenzi.


Mume wangu ni mpole na ananipenda, na nimetokea kumpenda lakini nashindwa kuacha mahusiano yangu ya nje ya ndoa. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba mume wangu hajui chochote kinachoendelea. Simpi nafasi yoyote ile ya kuwa na wasiwasi na mimi. Nafuta sms zote kwenye simu yangu ingawa huwa hana tabia ya kuchungulia simu zangu. Nahakikisha hagundui chochote kwasababu nataka familia yetu isisambaratike.


Najua natakiwa kuacha lakini sijui ni vipi. Tafadhali nisaidieni.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top