Habari Kali
Loading...

PICHA: HUYU NDIYE MSHINDI WA SERENGETI FIESTA SUPER NYOTA DIVA 2014!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
40dvMashindano ambayo yalikusanya jumla ya wasichana 14 kutoka miji 14 tofauti kwa ajili ya kutafuta kipaji kimoja ambacho kitawakilisha hiyo miji mingine hatimaye kimepatikana usiku wa kuamkia October 18 pale Escape 1.
Meza ya majaji 4 wakiongozwa na Dj Fetty walikua na kazi ya kuhakikisha wanapata kipaji kimoja ambacho mbali na kupewa zawadi ya Milion 1 taslim pia atapata nafasi ya kupiga colabo na Diamond Platnumz na darasa la muziki kutoka kwa Barnaba.
Hellen George ndiye aliyepata nafasi hii kwa kuibuka mshindi wa mashindano haya kwa mwaka huu ambaye anawakilisha mkoa wa Dar es salaam,mara baada ya kutangazwa mshindi, tulipata nafasi ya kufanya nae interview fupi juu ya ushindi huo.
30dv
Hellen George mshindi wa Serengeti Fiesta Super Nyota 2014.
‘Namshukuru Mungu kwa hii nafasi na nafurahi kwa kamati iliyoandaa shindano hili kwani imelenga kuinua vipaji vyetu,kiukweli shindano lilikua gumu na lilikua linahitaji moyo,nimejisikia furaha kutangazwa mshindi’
‘Mshiriki niliyekuwa namuangalia zaidi ni mshiriki kutoka Mwanza sio kwamba nilikuwa namhofia lakini nilimgundua ana kitu tofauti kwenye sauti yake,nafasi hii nimeifurahia kwa sababu Diamond Platnumz ni msanii ambaye nampenda sana,nilishawahi rekodi single 1 mpaka sasa lakini haikwenda radio’-Hellen George.
39dv
33dv
27dv
25dv
17dv
Hawa ndiyo 3 bora wa kwanza kushoto ni Siamary Tarimo kutoka Moshi,katikati Mshindi Hellen George wa Dsm na mshindi wa tatu Halima Ramadhan kutoka Dodoma.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top