Habari Kali
Loading...

WAHUDUMU WA BAA NA SALUNI WAONYWA KUACHA KUENDEKEZA NGONO ZEMBE....!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
WAHUDUMU baa, saluni, mama lishe na vijana wa bodaboda wilayani Sikonge mkoani Tabora wametakiwa kujiheshimu na kuwa waadilifu wanapofanya kazi zao ili kujiepusha na vishawishi mbalimbali wanavyokumbana navyo katika mazingira ya kazi zao.
  
Watoa huduma hao wamesisitizwa kuheshimu kazi zao kwani ni ajira inayowapa riziki sawa na ajira zingine na sio kuendekeza tamaa za mapenzi na pesa, jambo linalohatarisha maisha yao.
 


Hayo yamebainishwa jana katika semina ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Maendeleo ya Wananchi wilayani Sikonge iliyowahusisha wahudumu wa baa, saluni, mama lishe na waendesha bodaboda.
Hali hiyo imeelezwa itawasaidia na kuwa salama zaidi na hivyo wametakiwa kujiheshimu, kujilinda na kujiepusha na vishawishi vya namna hiyo kwani vinachangia maambukizi ya magonjwa ya ngono na virusi vya Ukimwi.
Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo kwa niaba ya Mkuu wa wilaya, Themistocles Byarugaba, Ofisa Maendeleo wa wilaya alisema lengo la semina hiyo ni kuelimisha vijana wa kike na kiume namna ya kujikinga na kujiepusha na maambukizi ya magonjwa ya zinaa na Ukimwi katika maeneo yao ya kazi.
Alisema kundi hilo hasa mabinti wanapaswa kuwa makini katika maeneo yao ya kazi, kwani vishawishi vingi huanzia kwao kupitia uvaaji ambapo baadhi yao huacha wazi eneo fulani la maumbile yao, hali inayochochea matamanio kwa wanaume.
Alisema katika hili akina dada hao wanatakiwa kujiheshimu wanapohudumia wateja wao na sio kukubaliana na kila kitendo wanachofanyiwa na wateja.
"Ninyi wahudumu wa baa, saluni na mama lishe acheni tabia ya kujirahisisha na kuwa ombaomba mnapowaona wateja, jiheshimuni, ridhikeni na mnachopata, jifunzeni kusema hapana msikubaliane na kudhalilishwa na wanaume, heshimuni kazi zenu, …… mkijiheshimu mtajiepusha na maambukizi ya Ukimwi," aliongeza.
Alisema halmashauri ya wilaya hiyo ina mpango wa kuanza kutoa mikopo kwa akina dada wanaofanya biashara ya ngono ili waachane na biashara hiyo, hali ambayo itawapunguzia umasikini sambamba na kuthibiti ukahaba unaofanywa na mabinti hao wilayani humo.
Nao Tito Luchagula Ofisa Ustawi wa jamii, Nicholous Magoha Ofisa Maendeleo ya jamii, Lwise Moshi Ofisa Maendeleo na Godfrey Kingamkono mhudumu wa maabara katika hospitali ya Misheni wilayani humo wakitoa mada kwa nyakati tofauti walibainisha kuwa semina hiyo ni muhimu sana kwa maendeleo na ustawi wa vijana wilayani humo.
Walisema kuwa kwa sababu wengi wao wanakabiliwa na changamoto nyingi katika maeneo yao ya kazi hali inayowafanya wajiingize katika vitendo viovu ikiwemo kuambukizwa magonjwa ya zinaa na Ukimwi.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top