Mwanamke huyo anayedaiwa kuwa ni mke wa mtu.
Baada ya kutajiwa maeneo yanayosifika kwa biashara hiyo maarufu kama
uchangudoa, OFM ambao juzikati walilifumua danguro lililopo maeneo ya
Liberty jijini hapa, Jumanne wiki hii lilifanya matembezi katika eneo
hilo ili kubaini jinsi biashara hiyo haramu inavyofanyika.Majira ya saa tisa za usiku, katika eneo lililopo jirani na Villa Park, OFM ilishuhudia wanawake wengi wakiwa wamesimama na kujinadi kwa wanaume waliokuwa wakiwafuata na kuzungumza nao biashara kama wauzao vitu halali.
Baadhi ya waliokubaliana waliondoka kuelekea kusikojulikana na wengine, walisogea pembeni na ‘kujisevia’ kwenye maeneo ya giza.Lakini katika hali ya kushangaza, mwanamke mmoja akiwa na mwanaume, alionekana akiingia katika gari moja lililokuwa limeegeshwa katika eneo linalojulikana kama Magereji, lililopo pembeni ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa na OFM lilipowafuatilia, liliwabamba wakifanya mapenzi.
Akishuka kwenye gari.
Wakati wakianza kupigwa picha mfululizo, mwanaume alifanikiwa
kukimbia kwa kupitia dirishani na kutokomea bila kunaswa na kamera,
wakati mwanamke alijikuta katika fedheha kubwa na kuanza kuomba msamaha
kuwa picha yake isisambazwe kwa vile ataaibika.Ijumaa: Sasa kwa nini unafanya biashara hii?
Mke wa mtu: Ni shida tu jamani, mume wangu kanitelekeza, naombeni mnisaidie msinitoe gazetini maana ndugu zangu wala hawajui kama nafanya biashara hii?
Baadaye katika uchunguzi wake, OFM ilibaini kuwa mlinzi wa gereji iliyopo eneo hilo ndiye amekuwa akitoa nafasi ya makahaba hao kutumia magari yanayolazwa eneo hilo kwa kuwatoza kiwango cha fedha ambacho hata hivyo hakikufahamika mara moja ni kiasi gani.
Hata hivyo, uchunguzi wa OFM umebaini kuwa machangudoa wengi wanaojiuza katika vijiwe vya Mwanza, wanatoza kati ya shilingi elfu nane hadi kumi kwa huduma ya muda mfupi, wakati wale wanaohitaji kulala nao, wanalipishwa kati ya shilingi 25,000 hadi 30,000.
Ijumaa linalaani biashara hii na linawatahadharisha wanaoifanya kuiacha la sivyo yatawakuta makubwa ikiwa ni pamoja na kuaibika kwa picha zao kuanikwa gazetini.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >