Habari Kali
Loading...

BAADA YA BABA YAKE KUFA...DULLY ANASWA NA TOTOZ KLABU YA USIKU!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Kha! Hata kabla ya siku 40 baada ya kifo cha baba yake, Ebby Sykes aliyefariki wiki mbili zilizopita, legendary wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amenaswa klabu ya usiku akiwa na totoz za kumwaga hivyo kuibua minong’ono na mshangao ikidaiwa kwamba ni mapema mno kujirusha.
 
Legendary wa Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ akiwa na totoz.
Staa huyo wa Ngoma ya Togola alinaswa na Ijumaa Wikienda ndani ya Club East 24 iliyopo Mikocheni jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa alikuwa bize akifanya yake bila kujali mashabiki waliokuwa wakimshangaa wakati B-Band chini ya Banana Zorro ikifanya makamuzi.
Wakati makamuzi ya bendi hiyo yakiwa yamepamba moto, Dully alionekana akikumbatiwa kimahaba na mrembo mmoja baada ya mwingine.
 
Akijiachia na moja ya totoz hizo.
“Jamani yule si Dully ambaye amefiwa na baba yake juzi tu? Mbona amegandana na yule mrembo kule ukutani? Hebu waangalie wanafanya nini jamani? Duh! Kweli haya ni mambo ya kizungu,” alisikika mdada mmoja aliyeonekana kuwapiga chabo kwenye giza huku akimsisitiza mwenzake naye apige chabo.
Kufuatia tukio hilo, mwanahabari wetu alimfuata Dully kisha akampa pole na kumuuliza kulikoni kujivinjari klabu usiku huo uliokuwa ukielekea mishale ya saa nane na ushee?
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Dully alipokea pole kisha akamwaga utetezi wake:

 
“Nimetokea kwenye kikao cha kupanga hitima ya marehemu baba, nimeona nipitie hapa kupoza machungu ya msiba na kumsalimia swahiba wangu, Banana Zorro.”
Wadau waliokuwa ukumbini hapo walisema ni kawaida kwa mtu mwenye mawazo kujivinjari sehemu kama hiyo kupunguza mawazo na haina maana kujifungia ndani na kulia.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top