Habari Kali
Loading...

RAY C: MAMA YANGU ANAUMWA SANA!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
STAA wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’, ambaye anatumia dozi ya kumwezesha kuacha matumizi ya madawa ya kulevya, amesema kuwa mama yake mzazi yu mgonjwa sana, akisumbuliwa na maumivu makali, Ijumaa Wikienda lina mkasa kamili.

Mama mzazi wa Ray C, Margaret Mtweve.
Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, staa huyo alisema kwa zaidi ya siku tatu mfululizo, mama yake alishindwa kupata usingizi kutokana na maumivu ya mifupa ya miguu yaliyomfanya avimbe miguu, kitendo kilichosababisha ajikute akilia kama mtoto mdogo.
 
Rehema Chalamila 'Ray C'.
“Ujue mara ya kwanza aliuguaga na kulazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, baadaye Mungu alimjalia akapona lakini naona ugonjwa wake umerudi tena. Anasumbuliwa na mifupa ambayo inamfanya wakati mwingine avimbe miguu hadi anashindwa kutembea,” alisema nyota huyo maarufu kama Kiuno Bila Mfupa.
Alisema mama yake amekuwa akipata shida kutembea kiasi kwamba Ijumaa iliyopita, alimpeleka hospitali ya Wachina iliyopo Sinza ili kupata vipimo na dawa, lakini haikusaidia.
“Hapa ninapoongea na wewe leo Jumamosi Machi 14, nipo kwenye Hospitali ya Misheni hapa Tegeta tumekuja kupata matibabu na kalazwa kwa muda ili afanyiwe vipimo vya MRI, maana leo usiku hajalala kabisa kwani muda wote alikuwa akilalamika tu miguu inamuuma.
“Imefikia wakati hadi nahisi maumivu yake na nabaki nalia tu, nampenda sana mama yangu kiasi kwamba natamani hata ningekuwa na fedha za kutosha kama zamani, hivi sasa ningekuwa nje ya nchi kupata matibabu zaidi, anateseka usiku na mchana,” alisema Ray C.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top