Abiria zaidi ya 50 wamenusurika leo baada ya basi
walilokuwa wakisafiria liitwalo Burudani kugongana uso kwa uso na Lori
la tenki la mafuta maeneo ya Soni mkoani Tanga. Mashuhuda wamesema hii
ajali imetokea baada ya Lori la mafuta kukatika breki na kuvaana na basi
hilo uso kwa uso. Habari zinasema hakuna maafa yaliyoripotiwa hadi sasa
ila watu kadhaa wamepata majeraha na kukimbizwa hospitali.
Hii ni ajali ya pili ya basi la abiria kutokea leo, ikufuatiwa na ile ya asubuhi maeneo ya Msimba, Mikumi, jirani na milima ya Udzungwa ambapo imeripotiwa kwamba watu 18 wamepoteza maisha hapo hapo na wengine 10 kujeruhiwa baada ya lori aina ya Fuso kugongana uso kwa uso na basi la abiria na yote mawili kushika moto hapo hapo.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >