Kwenye Leo Tena alikuwepo Diamond Platnumz pamoja na meneja wake, Babu Tale.. kama kawaida ya show ya Leo Tena
pale huwa ni story nyingi nyingi zinakuwa zinaendelea, lakini Diamond
nae akashea na watu wake kuhusu HEKAHEKA aliyowahi kukutana nayo.
Kulikuwa na maswali pia ambayo ilibidi Diamond ayajibu, mengi yalitoka kwa wasikilizaji wa show hiyo.
Ikaulizwa kuhusu tetesi za yeye na Meneja wake Said Fella kuwa na ugomvi, kisa vijana wa Yamoto Band hawajanunuliwa magari? Jibu la Diamond ni hapana.. hakuna ugomvi wowote, Babu Tale akasema mipango ya Management yao ni kufanya mengi mazuri kwa vijana wa Yamoto Band.. HAKUNA UGOMVI!
Likatupiwa swali la umri wa mpenzi wake Zari je? akajibu kwamba ni miaka 34 tu.
Ikaja sasa time ya kusikiliza Hekaheka
aliyowahi kukutana nayo wakati anaanza muziki.. amesema alikuwa anapenda
sana kuimba wimbo wa Z Anto wa ‘Binti Kiziwi’ .. wengine waliamini yeye ndio Z Anto mwenyewe, ikatokea msichana akampenda akijua anayempenda ni Z Anto.. baada ya video ya Z Anto kutoka watu wakamjua kwamba sio yeye ilibidi asiendelee kukatisha maeneo hayo.
Wengine waliuliza kama wimbo wa ‘Nasema Nawe’ ni wimbo alioimbiwa mpenzi wake wa zamani, Wema Sepetu.. nalo Diamond kalijibu, amesema huo wimbo hajaimbiwa Wema.. Ila aliuimba wakati akiwa na Wema… Hiyo ni burudani ambayo imezoeleka na wanawake wa uswahilini kwa hiyo kaona nao awaimbie.
Amekataa kuwa na ugomvi wowote na Ommy Dimpoz, na wala hajawahi kukutana na Wema tangu walipoachana.
Kuhusu ujauzito wa Zari, Diamond amesema anatarajia mtoto mwezi wa saba au wa nane hivi.
Utayasikiliza yote hayo hapa chini mtu wangu, play..
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >