Maajabu! Dada mmoja msaidizi wa kazi za ndani maarufu kama Hausigeli, aitwaye Sophia Omari (24) ambaye ndugu zake walitangaza kuwa alifariki kwa kunywa sumu, aliibuka nyumbani kwao mtaa wa Tuelewane, Kihonda mjini Morogoro Jumanne wiki hii wakati wanandugu wakijiandaa kwa ajili ya mazishi ya mwili wake, Ijumaa lina mkasa kamili.
Sophia aliyetinga nyumbani hapo akiwa kwenye bodaboda pamoja na babu yake, alisababisha waombolezaji waliojitokeza msibani hapo, kutimua mbio kwa kutokuamini walichokiona mbele yao.Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo la aina yake, awali Sophia alikuwa akiishi kwenye nyumba aliyopangiwa na mwanaume mmoja mume wa mtu aliyezaa naye, lakini baada ya mke wa mume huyo kujua na kwenda kumfanyia vurugu, binti huyo alikimbilia Mazimbu kwa dada yake ambako alikuwa akifanya kazi za ndani kwa majirani.
Babu wa binti huyo ambaye wazazi wake walifariki akiwa na umri mdogo, Juma Sigwa alisema Sophia alilelewa na bibi yake lakini naye alipoaga dunia, alimchukua na kumlea yeye kabla ya kumfukuza nyumbani kufuatia mabadiliko ya tabia yake.
“Jana (Jumatatu) nimepokea meseji kutoka kwa Tausi kwamba Sophia kanywa sumu, kafa tukaangua vilio, baadaye tukafunga turubai huku baadhi ya majirani wakienda kuchimba kaburi, ndugu wa mbali wamefika, leo nikaamua kwenda Mazimbu kuuchukua mwili.“Cha ajabu, nafika Mazimbu namkuta Sophia yuko jikoni anapika uji, nikashangaa, baadaye nikawajulisha wenzangu, wakaniambia nimlete msibani, nikakodi bodaboda na kuja naye, watu walipomuona wakatimua mbio kwa woga,” alisema mzee huyo.
Inadaiwa kuwa Sophia na dada yake Halima wanaoishi pamoja Mazimbu, wote hawana simu, isipokuwa walikuwa wakiwasiliana na jamaa zao kupitia kwa jirani yao, namba ambayo ndiyo ilituma sms kwa ndugu kuwafahamisha kuhusu kufariki kwa msichana huyo.
Wananchi wakifuatilia tukio hilo la kushangaza.
Sophia mwenyewe akizungumzia juu ya sakata hilo, alisema ni uchuro
unaoendelea katika maisha yake kwani amekuwa ni mtu wa majanga.“Tukio
hili ni muendelezo wa majanga ninayoendelea kuyapata, wazazi wangu
walikufa nikiwa darasa la tatu, ndugu wakashindwa kunisaidia, nikaacha
shule darasa la tatu, nikaishi na bibi mzaa mama naye akafa, babu
akanichukua na baadaye kanifukuza, nikiwa na umri wa miaka 16 nikatembea
na mume wa mtu anaitwa Seif, akanipa mimba, akanipangia chumba
nikajifungua mtoto Khadija,” alisema binti huyo.Alisema mwaka jana mtoto wake alivyotimiza miaka miwili, mke wa Seif alijua na kuanza kumtafuta hadi akampata na kumfanyia vurugu kubwa, kabla ya kesho yake mumewe kufika hapo na kumchukua mtoto wake ambaye alimpeleka Dodoma kwa mama yake mzazi ambako hajaonana naye tena wala kuwasiliana maana alibadili namba.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >