Habari Kali
Loading...

KADJA: KWA MAISHA HAYA MUME WA NINI?

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Musa Mateja STAA kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Khadija Maige ‘Kadja Nito’,  hatimaye ameamua kufunguka na kusema kuwa, kwa maisha yake ya sasa ya kimuziki haoni kama kuna umuhimu wa kufikiria masuala ya kuolewa.
Staa kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania ‘THT’, Khadija Maige ‘Kadja Nito’.
Akizungumza na paparazi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita Kadja alisema kuwa, muziki sasa ndiyo kila kitu kwake hivyo hawezi kumpa nafasi mwanaume au kuzungumzia suala la ndoa hivi sasa.
“Naweza kuishi maisha yangu bila mwanaume, napata mshiko, nawasaidia ndugu zangu na mimi najimudu, mume wa nini maisha haya? Sasa ni muziki na mimi, mimi na muziki, mapenzi yasubiri,” alisema Kadja.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top