Habari Kali
Loading...

KISA WIVU WA MAPENZI...MWANAMKE ASUTWA MCHANA KWEUPE!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Hamida Hassan MSUTO! Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Sina, mkazi wa Kawe jijini Dar amejikuta akisutwa mchana kweupe baada kumvujishia taarifa rafiki yake aitwaye Cheka Komba Mbegere kuwa wanawake wanaojiita Cash Money wanakwenda kumsuta, Risasi Mchanganyiko lilifuatilia hatua kwa hatua.Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Sina (mwenye nguo nyekundu mbele kushoto), mkazi wa Kawe jijini Dar akisutwa mchana kweupe  na wanawake wanaojiita Cash Money wanakwenda kumsuta.
Tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo Cash Money walichoshwa na tabia ya umbea wa Cheka ambaye ni memba wa kundi hilo, ndipo walipoamua kumfungia kazi lakini akanusurika baada ya kutonywa na Sina ndipo wamama hao waliobeba ngoma za vidumu vya maji walipomsuta Sina kwa niaba ya Cheka.
Kwa mujibu wa Jamila ambaye naye ni memba wa Cash Money, Cheka alimgombanisha yeye na Sheila kwa kumwaambia kuwa wanatembea na bwana mmoja aitwaye Bubu pasipo kujijua.“Huyu mama amenifanyia kitu mbaya sana, alikuwa anakwenda kumwambia Sheila kuwa mimi natembea na mume wake ambapo tulikuwa tukigombana mara kwa mara na mwisho ndiyo hiyo juzi aliponivamia na kunipiga wakati nimelewa.

Majibizano yakendelea.
“Kwenye ule ugomvi Cheka naye alikuja kunichangia, kesho yake nilipozinduka nilikwenda kituo cha polisi Kawe na kushtaki, asivyo na haya akamuandikia SMS Sheila akimwambia waende kwa mganga ili eti waifute kesi,” alisema Jamila.
Baada ya kuona mambo yameshindakana kwa mganga, Sheila akaona bora amuombe msamaha Jamila ndipo walipomjua ‘mchawi’ wao ni Cheka kisha wakaungana kwenda kumsuta.
“Nilipoona mambo yamenifika shingoni nikaona nirudi kwa mwenzangu nimuombe msamaha tupatane, ndiyo nikamweleza mtu aliyekuwa akituchonganisha tukapanga siku ya kumsuta ambayo ndio leo lakini bahati yake akawa ametonywa akakimbia, tulichunguza tukabaini ametonywa na Sina ndipo naye tukamsuta barabara,” alisema Sheila.
Paparazi wetu aliwashuhudia Cash Money wakimuimbia Sina nyimbo za kumsuta huku wakipiga ngoma za vidumu vya maji kwa takriban nusu saa ambapo Sina alileta vurugu kali ya kutaka kujinasua lakini hakufanikiwa.
“Hii ndiyo kiboko ya wambeya, kwa aliyeona fedheha hii kamwe hawezi kufanya umbeya wa aina yoyote,” alisikika shuhuda  mmoja.

Baada ya kumalizika kwa tukio hilo, paparazi wetu alimvutia waya Cheka ili kumuuliza kama ni kweli alihusika kuwagombanisha Jamila na Sheila na sababu za yeye kutimka nyumbani hapo siku ya tukio.“Mimi nilikimbia kwa sababu walisema eti wamewaita waandishi waje wanisute lakini ukweli ni kwamba mimi sijawahi kuwachonganisha ila walipopigana nilikwenda kuwasuluhisha.
“Hata hivyo wale hawanipendi kwa sababu nimejitoa kwenye kundi lao na ninawadai hela zangu ndio maana wananichafua,” alisema Cheka.   Hata hivyo, Cash Money waliahidi kufanya msuto ‘party two’ muda wowote watakapomtia mikononi Cheka wakidai wamechoshwa na tabia yake ya kuwagombanisha watu.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top