Andrew Carlos na Gladness Mallya ZIKIWA zimepita siku chache tangu kuadhimishwa miaka mitatu kwa aliyekuwa nguli wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, inadaiwa kuwa gari alilokuwa akilitembelea aina ya Toyota Lexus lenye namba za usajili T750 AER limezidi kudoda sokoni, Risasi Jumamosi linakujuza.
Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa gari hilo lililonunuliwa na marehemu kwa shilingi milioni 78, linapatikana maeneo ya Msasani, jijini Dar kwenye jengo la mikopo ambapo linauzwa kwa bei chee ya shilingi milioni 18 hadi 14.
“Nilikuwa nikijipitia kukagua magari lakini ghafla nikakutana na gari la Kanumba. Sikuamini mpaka pale nilipoingia na kulipiga picha kisha nikaambiwa na thamani yake,” kilisema chanzo.Chanzo kiliendelea kutiririka kuwa huenda kuna mkopo ulichukuliwa na kuacha dokumenti zote za gari hiyo na iliposhindikana kulipwa gari hiyo ikapigwa mnada.
“Sidhani kama gari kali kama ile ipigwe bei ya milioni 18 tu, lazima kutakuwa na mkopo ambao haujamalizwa ndiyo maana limepigwa kiasi hicho cha pesa ili kukamilisha.”Awali ilisemekana kuwa gari hilo lilikabidhiwa kwa msanii wa filamu Bongo, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ ili alinunue kwa gharama ya shilingi milioni 40 lakini kwa kuwa liligundulika na matatizo mengi akawa tayari kutoa shilingi milioni 25 ambapo pia ilishindikana na kurudishwa kwa familia ya Kanumba.
Risasi Jumamosi lilimtafuta mama Kanumba, Flora Mtegoa ili kujua anazungumziaje gari hilo kudoda sokoni, alijibu:“Mimi sijui chochote kuhusu hilo gari naona mnazidi kuniumiza tu hapa naumwa, hata kama nimeuza au limefanywaje jamani maswali mengine yanaumiza hebu niacheni maana sijui kinachoendelea kuhusu hilo gari,” alisema Mama Kanumba.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >